Khatibu wa sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema kuwa, kundi la 5+1 linapasa kutumia vyema fursa iliyopo ya mazungumzo ya nyuklia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ili kufidia makosa liliyoyafanya huko nyuma dhidi ya taifa la Iran.
Habari ID: 1317806 Tarehe ya kuchapishwa : 2013/11/16