iqna

IQNA

Algeria imetaka waandalizi wa Kombe la Soka la Dunia 2014 kuwapa nakala za Qur’ani wachezaji na maafisa wa timu yake ya taifa.
Habari ID: 1399941    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/26

Utawala wa kiimla wa Aal Khalifa nchini Bahrian unahadaa walimwengu na kujaribu kuficha jinai zake dhidi ya watu wa nchi hiyo kwa kuandaa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani na pia mashindano ya magari ya Formula One.
Habari ID: 1390961    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/06

Mashindano ya Qur’ani nchini Kenya yameingia wiki yake ya pili kwa kufanyika awamu ya mchujo katika Masjid Kambi eneo la Kibra katika mji mkuu, Nairobi.
Habari ID: 1390167    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/03/31

Kundi la watu wasiojulikana limeushambulia msikiti mmoja kaskazini mwa Rome mji mkuu wa Italia na kuteketeza nakala zote za Qur’ani Tukufu zilizokuwemo msikitini humo.
Habari ID: 1389037    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/03/19

Abdul-Rahman Farih ndie mtu mwenye umri wa chini zaidi duniani kuhifadhi kilamilifu Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 1385230    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/03/10