Chuo Kikuu cha Jimbo la Yobe Kaskazini Mashariki mwa Nigeria kimehuisha kitengo cha utafiti wa Qur'ani kwa lengo la kuimarisha masomo ya Kiislamu.
Habari ID: 3457056 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/25
Awamu ya 23 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Misri yatafanyika hivi karibuni katika mji wa Sharm el Sheikh mkoa wa Sinai.
Habari ID: 3457049 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/25
Abdullah Abdul Quddus ambaye amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu ametajwa kuwa hafidh mwenye umri wa chini zaidi mjini Jeddah, Saudi Arabia.
Habari ID: 3457024 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/25
Rais Vladimir Putin wa Russia amemtunuku Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali hamenei, nakala ya zamani yenye thamani kubwa ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3456287 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/23
Warsha ya kielimu kuhusu ‘Miujiza ya Kisayansi katika Qur’ani’ imefanyikanchini Misri katika Chuo Kikuu cha Tanta mkoani Gharbia.
Habari ID: 3454189 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/18
Kikao cha 12 cha wasomi wafasiri wa Qur’ani Tukufu kimeanza Jumanne hii katika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran.
Habari ID: 3454168 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/18
Kikao cha Nne cha Kimatiafa cha 'Masomo ya Qur'ani na Kutadabari Qur'ani Tukufu Ulaya" kitafanyika Julai mwaka 2016 Manchester Uingereza.
Habari ID: 3452856 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/15
Vijana wanne wa Kishia nchini Saudi Arabia wamefanikiwa kuchukua nafasi za juu katika awamu ya tatu wa Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani na Hadithi yaliyofanyika katika mji mtakatifu wa Madina.
Habari ID: 3446588 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/10
Abdulswamad bin Omar Muhammad kutoka Somalia ndie mshiriki mwenye umri mdogo zaidi katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu Saudi Arabia.
Habari ID: 3446375 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/09
Rais Rouhani wa Iran
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja Qur'ani Tukufu kuwa ni kitabu cha nuru na uongozi na kuongeza kuwa yeye daima huanza siku yake kwa kusoma kurasa kadhaa za kitabu hicho kitakatifu.
Habari ID: 3444795 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/08
Qur’ani Tukufu inawaita watu wote kuelekea katika akili, hekima na mazungumzo ya kimantiki, amesema mwanazuoni mwandamizi nchini Iran.
Habari ID: 3443991 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/06
Professor Abdulaziz Sachedina
Kila ambaye anatafakari kuhusu msingi wa kimaanawi wa uwepo wa mwanadamu na ujumbe wa Qur'ani kuhusu umaanawi katika zama zetu hizi, anapaswa kusoma aliyoyasema Imam Khomeini MA kuhusu Qur'ani Tukufu
Habari ID: 3428266 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/01
Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu Iran Ayatullah Hashemi Rafsanjani amesema kuwa Qur'ani tukufu ilikuwa chanzo cha shakhsia na mafanikio makubwa ya hayati mwanzilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomeini MA.
Habari ID: 3428213 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/01
Aplikesheni za kusoma Qur’ani Tukufu zinaendelea kupata umashuhuri katika nchi za Kiislamu na hata nchi zisizokuwa za Kiislamu kote duniani.
Habari ID: 3428150 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/01
Mkutano wa pili la kimataifa la kutafakari katika Qur’ani umefanyika nchini Morocco. .
Habari ID: 3410361 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/29
Idara ya Qur’ani katika Wizara ya Utamaduni na Muongozo wa Kiislamu Iran imeandaa kongamano chini ya anuani ya ‘‘Qur’ani Katika Sirah na Fikra za Imam Khomeini’.
Habari ID: 3410354 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/29
Kwa mnasaba maombolezo ya kukumbuka kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Mtume Muhammad , SAW, Imam Hussein AS, vikao kadhaa vya kusoma Qur'ani vimeandaliwa katika misikiti mbali mbali kote Kuwait.
Habari ID: 3388677 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/18
Rais Vladimir Putin wa Russia ameidhinisha muswada wa bunge la nchi hiyo, Duma, kuhusu kulinda na kuhifadhi heshima vitabu vitukufu vya duni kubwa duniani.
Habari ID: 3386346 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/17
Maqarii wengine watatu wa Qur'ani Tukufu Wairani wametambuliwa kuwa miongoni mwa Mahujaji waliopoteza maisha katika maafa ya Mina Alhamisi wiki iliyopita.
Habari ID: 3377233 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/02
Qarii mashuhuri wa Iran aliokuwa katika msafara wa Qur'ani wa mahujaji amethibitishwa kuaga dunia kufuatia msongamano mkubwa wa mahujaji katika eneo la Mina karibu na mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3370739 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/26