TEHRAN –IQNA–Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa njia pekee ya kuokoka Waislamu katika hali ya hivi sasa duniani ni kurejea katika mafundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 2665230 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/01
Mwanaharakati wa Qur'ani kutoka nchini Iraq ameashiria Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu na kusema mashindano hayo ni fursa muafaka kwa washiriki kubadilishana mawazo na uzoefu kuhusu Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 2663153 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/01
Hivi Wakristo duniani wanaadhimisha siku ya kuzaliwa Nabii Isa AS. Mamia ya mamilioni ya Wakristo duniani katika makundi yao tofauti wanaadhimisha kuzaliwa Mtume huyo wa Mwenyezi Mungu, rehema za Allah ziwe juu yake na mama yake mtoharifu.
Habari ID: 2638287 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/27
Tehran (IQNA)- Kongamano la kimataifa lenye anuani ya “Umoja wa Kimataifa Kwa Mtazamo wa Qur’ani na Hadithi” linatazamiwa kufanyika Tehran, Ijumaa tarehe pili Januari.
Habari ID: 2626656 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/25
Duru ya 36 ya Mashindano ya Kimatiafa ya Hifdhi, Qiraa na Tafsiri ya Qur’ani Tukufu yameanza leo Novemba 15 katika Msikitu Mkuu wa Makka (Masjid al-Haram) , Saudi Arabia.
Habari ID: 1473482 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/15
Mashindano ya Qur’ani yamefanyika nchini Rwanda chini ya himya ya Jumuiya ya Waislamu nchini humo.
Habari ID: 1455972 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/30
Wawakilishi wa Misri na Morocco wametia saini makubaliano ya ushirikiano katika masuala ya kidini ikiwa ni pamoja na kubadilishana uzefu katika sekta ya uchapishaji na usambazaji wa nakala za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 1450407 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/15
Mtaalamu mwashuhuri wa Qur'ani kutoka Misri amesema Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu ni hatua muhimu katika umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 1442398 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/24
Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini Uingereza yamepangwa kufanyika mwezi ujao nchini humo yakiwashirikisha vijana wa Kiislamu.
Habari ID: 1439998 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/17
Waziri Mkuu mteule wa Iraq Haider al—Abadi ni msomi mashuhuri wa Qur'ani.
Habari ID: 1439232 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/14
‘Wiki ya Qur’ani kwa Hisani ya Iran’ imeandaliwa nchini Uganda kwa himaya ya Idara ya Utamaduni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Uganda.
Habari ID: 1432796 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/23
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema Marekani na Uingereza zinaunga mkono hujuma inayoendelea ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 1428809 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/13
Rais Hassan Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema matatizo wanayokumbana nayo Waislamu hivi sasa ni matokeo ya kutoyazingatia mafundisho ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 1428807 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/13
Maonyesho ya kitaifa ya Qur'ani Tukufu yalianza jana katika makao makuu ya Jumuiya ya Kiislamu ya Jamhuri ya Congo kwa mnasaba wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 1426538 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/06
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Katika siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, ugeni wa Allah Karima ambao pia ni machipuo ya Qur'ani, idadi ya wasomaji bora wa tajwidi, maustadhi na mahafidhi wa Kitabu cha Allah SWT, jana mjini Tehran walishiriki katika kikao na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei kwenye mahafali ya kufungamana na Qur'ani.
Habari ID: 1424379 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/30
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema maudhui ya Umahdi na kudhihiri Imam wa Zama (ATF) ni ahadi isiyopingika ya Mwenyezi Mungu kwa ajili ya kuongoza jamii ya mwanaadamu.
Habari ID: 1416911 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/12
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa: kushikamana na Qur'ani ni jambo ambalo litauletea Umma wa Kiislamu mafanikio na heshima.
Habari ID: 1414310 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/03
Mashindano ya ۳۱ ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yamemalizika leo Jumatatu hapa Tehran bada kuendelea kwa muda wa wiki moja.
Habari ID: 1413796 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/02
Iwapo Waislamu wa maeneo yote duniani wataweka kando migongano yao na kushikamana na Kamba ya Allah, yaani Qur'ani Tukufu, basi ulimwengu wa Kiislamu utashuhudia ustawi mkubwa na wa kasi katika nyanja zote.
Habari ID: 1412786 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/31
Mashindano ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yameanza siku ya Jumatatu mjini Tehran katika mkesha wa siku kuu ya kukumbuka wakati Mtume Mtukufu wa Uislamu Muhammad Mustafa SAW alipobaathiwa yaani kupewa Utume na Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 1411469 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/27