Kikao cha kimataifa cha qiraa ya Qur'ani Tukufu imefanyika mjini Cape Town, Afrika Kusini na kuhudhuriwa na maqarii kutoka Misri, Iraq, Sudan na Malaysia.
Habari ID: 3328819 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/16
Iran itashiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini Sudan.
Habari ID: 3327976 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/14
Wakaazi wa Zanzibar nchini Tanzania wamepokea kwa furaha tele hatua ya kuanzishwa huduma 10 za mfumo wa Kiislamu katika benki kuwahudumia wafanyabiashara, maafisa wa serikali na wananchi wa kawaida.
Habari ID: 3327967 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/14
Tamasha la Kimataifa ya Qur’ani linafanyika Moscow mji mkuu wa Russia kwa mara ya kwanza kabisa.
Habari ID: 3327667 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/13
Awamu ya 23 ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur’ani Tehran yanamalizika Jumanne hii.
Habari ID: 3327645 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/13
Taasisi mbili za Uturuki zinashirikiana kusambaza nakala milioni za Qur’ani Tukufu katika nchi kadhaa za Kiafrika.
Habari ID: 3327631 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/13
Taasisi ya Dar-ul-Qur’an na Sunnah katika Ukanda wa Ghaza imewaenzi wakaazi 1000 wa eneo hilo walio hifadhi Qur’ani kikamilifu.
Habari ID: 3325720 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/07
Kituo cha Utamaduni cha Iran Uganda kinatoa mafunzo maalumu kwa walumu wa Qur’ani katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Habari ID: 3321660 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/01
Qatar imeandaa maonyesho kuhusu miujiza ya Qur'ani Tukufu na mafanikio ya wanasayansi Waislamu katika historia.
Habari ID: 3318504 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/25
Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Dubai yameanza Jumatano hii usiku katika mji huo wa Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3318398 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/24
Maqari 12 kutoka Misri watashiriki katika majlisi na vikao vya kusoma Qur'ani Tukufu nchini Iran katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3317012 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/22
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema maqari na wasomaji wanaweza kusisitiza mara kadhaa juu ya baadhi ya maneno ya kitabu hicho kitukufu katika usomaji wao.
Habari ID: 3315977 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/19
Maonyesho ya 23 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yatafunguliwa katika siku za awali za mtukufu wa Ramadhani katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran.
Habari ID: 3315145 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/16
Mohsen Haji-Hassani Kargar
Mohsen Haji-Hassani Kargar aliyewakilisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kupata nafasi ya kwanza katika Mashindano ya 57 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Malaysia ameashiria nafasi na hadhi ya juu ya qiraa ya Qur'ani Tukufu katika Jamhuri ya Kiislamu.
Habari ID: 3314496 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/15
Mohsen Haji-Hassani Kargar
Mwakilishi wa Iran katika Mashindano ya 57 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Malaysia amesema maqarii au wasomaji wa Qur'ani Tukufu ni wahubiri wa Uislamu na wanapaswa kuendeleza malengo ya Qur'ani.
Habari ID: 3314406 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/15
Mohsen Haji-Hassani Kargar wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameibuka mshindi katika kitengo cha qiraa cha Mashindano ya 57 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Malaysia.
Habari ID: 3314400 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/15
Watu 183 waliosilimu na wanaoishi Qatar wamejisajilisha kushiriki katika mashindano ya kitaifa ya Qur’ani katika nchi hiyo ya Ghuba ya Uajemi.
Habari ID: 3313858 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/13
Kituo cha Utamaduni cha Iran mjini Kampala, Uganda kinashirikiana na Televisheni ya kitaifa ya nchi hiyo UBC TV katika kutayarisha pamoja vipindi vya Qur'ani na vya maudhui za kidini.
Habari ID: 3312613 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/09
Wanafunzi wa madrassah za mji mkuu wa Tanzania, Dar es Salaam wameshiriki katika mashindano ya kuhifadhi Qur'ani katika Masjid Hudaa eneo la Mbagala.
Habari ID: 3308477 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/27
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, tiba ya matatizo ya leo yaliyoko katika ulimwengu wa Kiislamu ni kusalimu amri mbele ya maamrisho ya Qur’ani Tukufu na kutosalimu amri mbele ya utwishaji mambo wa ujahili wa kisasa (mamboleo) na kusimama kidete mbele ya ubeberu na utumiaji mabavu wa ujahili huo.
Habari ID: 3306857 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/23