Awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran imekamilika na washindi kutangazwa huku wawakilishi wa nchi za Afrika wamefanya vizuri katika kuhifadhi Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3306240 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/22
Wanawake wasomi na wanaharakati wa Qur'ani Tukufu wameenziwa pembizoni mwa Awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3306144 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/21
Mwakilishi wa Saudi Arabia katika Awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran ameyataja mashindano hayo kuwa nembo ya umoja miongoni mwa Waislamu.
Habari ID: 3306138 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/21
Awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran imeanza Ijumaa jioni kwa hotuba ya Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3304081 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/16
Rais Hassan Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefungua rasmi awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran na kusema hivi sasa jamii za Kiislamu zinapaswa kutekeleza mafundisho ya Qur’ani kikamilifu.
Habari ID: 3304080 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/16
Katika siku za kukaribia tarehe 27 Rajab Mohammad SAW alikuwa akienda katika pango la Hiraa na katika baadhi ya nyakati alikuwa akikaa siku kadhaa katikaeneo hilo. Alikuwa akimfahamisha mke wake mtiifu Khadija kuwa: ‘Wewe pia wafahamu mahaba na mafungamano yangu. Katika siku hizi nina hisia ya ajabu ya kupenda kumkumbuka Mola muumba, moyo wangu hautaki chochote isipokuwa hilo.’
Habari ID: 3303983 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/15
Wataalamu 22 wa Qur’ani Tukufu wameteuliwa katika jopo la majaji wa awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3293178 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/12
Nakala kubwa zaidi ya Qur'ani duniani imeandikwa katika mji mtakatifu wa Mash'had kaskazini maashariki mwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3259424 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/05
Zaidi ya nchi 62 zimethibitisha kushiriki katika awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3185599 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/21
Awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yanatazamiwa kuanza katika mji mkuu Tehran mnamo 27 Rajab sawa na Mei 15.
Habari ID: 3156549 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/16
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itashiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani nchini Tunisia
Mashindano hayo yanatazamiwa kufanyika baadaye mwezi huu katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
Habari ID: 3147174 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/15
Tehran (IQNA)-Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtunuku zawadi msichana Muirani mwenye umri wa miaka 8 aliyehifadhi kikamilifu Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 2985092 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/15
Misri itakuwa mwenyeji wa mashindano mawili ya kimataifa ya Qur’ani katika miezi michache ijayo.
Habari ID: 2968365 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/12
Magaidi wa kitakfiri wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria wamewaua kwa umati wakaazi wa mji wa Gwoza waliokuwa wamekusanyika kusoma Qur'ani Tukufu kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 2944655 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/08
Baadhi ya nakala za kale zaidi za Qur’ani duniani ambazo ni zama miaka ya awali ya Uislamu zimewekwa katika maonyesho.
Habari ID: 2917897 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/02
Waziri wa Masuala ya Awqaf na Kiislamu nchini Qatar ameamuru kuundwa Kamati ya Ustawi wa Kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 2870538 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/19
Makamu wa zamani wa rais wa Misri Mohammad El Baradei Ijumaa ametuma aya ya Qur’ani kupitia mtandao wa kijamii wa twitter kujibu hujuma za kigaidi zilizotekelezwa na wanamgambo katika eneo la Sinai nchini Misri ambapo watu 30 waliuawa.
Habari ID: 2790529 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/31
Waliul Amr wa Waislamu kote duniani
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, umoja ni somo kubwa kutoka kwa Mtume wa Mwisho SAW na kwamba hivi sasa ni hitajio la dharura la umma wa Kiislamu.
Habari ID: 2689577 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/09
TEHRAN-IQNA- Mashindano ya 5 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu yamemalizika Jumapili mjini Tehran huku wawakilishi wa Iran na misri wakichukua nafasi za kwanza katika qiraa na hifdhi kwa taratibu.../mh
2671946
Habari ID: 2672141 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/05
Mwenyekiti wa Taasisi ya Jihadi ya Vyuo Vikuu nchini Iran amesema lengo la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu ni kuimarisha itikadi za wanafunzi wa vyuo vikuu katika ulimwengu wa Kiislamu ili kuhuisha umoja wa Waislamu kueneza ustaarabu mpya wa Kiislamu.
Habari ID: 2666237 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/01