Harakati ya Ansarullah nchini Yemen imekanusha madai ya Saudia kuwa imeshambulia msikiti wa Makkah.
Habari ID: 3470642 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/30
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran hatua ya Saudia kuwaua watoto nchini Yemen ni sawa na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel ambao umekuwa ukiwaua watoto Wapalestina huko Ghaza na pia nchini Lebanon.
Habari ID: 3470625 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/21
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema a uungaji mkono madola ya Magharibi kwa mashambulizi ya ndege za kivita za Saudia huko Yemen, ndiyo sababu ya kushadidi mgogoro na kuuliwa raia wasio na hatia.
Habari ID: 3470612 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/14
Raia wasiopungua 160 wameuawa kinyama katika mji mkuu wa Yemen Sana'a baada ya ndege za kijeshi za Saudi Arabia kuwashambulia walipokuwa katika kikao cha mazishi.
Habari ID: 3470606 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/09
Ubalozi wa Saudia Arabia nchini Morocco umekosolewa vikali na Waislamu baada ya kuenea picha za kuvunjiwa heshima nakala za Qur'ani Tukufu katika ubalozi huo.
Habari ID: 3470597 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/03
Abdul-Malik Badreddin al-Houthi
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema Marekani ndiyo iliyotoa amri ya kushambuliwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470574 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/21
Nyaraka za Siri
Huku Saudi Arabia ikijaribu kudai kuwa Ibada ya Hija iliandaliwa kwa mafanikio mwakubwa mwaka huu bila tatizo lolote, ripoti iliyovuja inaonyehsa kuwa mahujaji zaidi ya 800 walifariki wakati wa Hija.
Habari ID: 3470571 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/19
Balozi wa Uingereza nchini Saudi Arabia, Simon Collis, ametekeleza ibada ya Hija mwaka huu baada ya kusilimu.
Habari ID: 3470563 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/14
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa madai yasiyo na msingi ya Saudi Arabia dhidi yake na kutoa wito kwa watawala wa Riyadh kutoruhusu 'ndoto' kutawala vitendo vyao Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3470546 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/03
Saudi Arabia imemkamata mwanazuoni mkubwa wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
Habari ID: 3470451 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/13
Kiongozi wa Ansarullah Yemen
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema watu wa nchi yake watailinda ardhi yao na hawatatoa muhanga 'heshima' na 'uhuru' mbele ya hujuma zisizo na kikomo za Saudi Arabia.
Habari ID: 3385390 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/14