TEHRAN (IQNA) – Msikiti mmoja nchini Saudi Arabia katika eneo la Dammam umebuni nakala ya Qur'ani ya kidijitali kwa wanaoingia katika msikiti huo.
Habari ID: 3472888 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/22
TEHRAN (IQNA) - Saudi Arabia inatafakari kufuta ibada ya Hija mwaka huu kutokana na kuenea janga la corona au COVID-19.
Habari ID: 3472862 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/13
TEHRAN (IQNA)- Naibu Spika wa Bunge la Iraq Hassan Karim al-Kaabi ametoa wito kwa Saudi Arabia kukarabati Makaburi ya Baqii katika mji mtakatifu wa Madina.
Habari ID: 3472826 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/02
TEHRAN (IQNA) - Kumezinduliwa Kampeni ya Kimataifa ya kutaka misikiti miwili mitakatifu ya Makka na Madina isimamiwe kimataifa na nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3472817 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/30
TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Nujaba ya Iran imeilaani vikali televisheni Televisheni ya MBC ya Saudia ambayo imemvunjia heshima Shahidi Abu Mahdi al-Muhandis.
Habari ID: 3472771 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/16
TEHRAN (IQNA) –Nchini Yemen kumeripotiwa kesi kadhaa za ugonjwa wa COVID-19 au corona Jumatano huku Umoja wa Mataifa ukibainisha wasiwasi wake kuwa ugonjwa huo yamkini unaenea katika nchi hiyo bila kujulikana huku mamilioni wakikabiliwa na njaa na ukosefu wa huduma za afya.
Habari ID: 3472718 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/30
TEHRAN (IQNA)- Msikiti Mtakatifu wa Makka (al-Masjid al-Ḥaram) na Msikiti Mtakatifu wa Mtume SAW (Al Masjid an Nabawi) mjini Madina, itaendelewa kufungwa kwa umma kwa ajili ya swala za jamaa hadi mwisho wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472689 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/21
Janga la corona
TEHRAN (IQNA) –Mufti Mkuu wa Saudi Arabia amesema sala zote katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ziswaliwe katika majumbani kutokana na janga la ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472679 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/18
TEHRAN (IQNA) – Afisa mmoja wa kidini nchini Saudi Arabia amesema kuna uwezekano mkubwa kuwa Sala ya tarawih haitasaliwa katika misikiti ya nchi hiyo ili kuzuia kuenea ugonjwa wa corona au COVID-19 nchini humo.
Habari ID: 3472655 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/11
TEHRAN (IQNA) - Saudi Arabia imetangaza kuanza usitishaji vita wa wiki mbili huko Yemen hata hivyo nchi hiyo ilikiuka usitishaji vita huo katika masaa ya awali tu ya kuanza kutekelezwa.
Habari ID: 3472650 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/10
TEHRAN (IQNA) - Muungano vamizi wa Saudi Arabia na Imarati umeshambulia maeneo mbali mbali ya Yemen zaidi ya mara 300 katika kipindi cha siku saba zilizopita.
Habari ID: 3472645 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/08
TEHRAN (IQNA) – Mkuu wa Idara ya Hija na Ziyara ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameelezea matumaini yake kuwa, janga la COVID-19 au corona litamalizika utakapowadia msimu wa joto na kwamba Hija itafanyika kama ilivyopangwa. Hatahivyo ameongeza kuwa, Iran iko tayari kwa hali yoyote itakayojitokeza kuhusu Ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3472643 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/07
Hofu ya corona
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Hija wa Saudi Arabia amewataka Waislamu kote duniani kusitiha kwa muda maandalizi ya ibada ya mwaka huu ya Hija hadi pale hali ya mambo kuhusiana na maambukizi ya virusi vya corona duniani itakapobainika vyema.
Habari ID: 3472623 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/01
TEHRAN (IQNA) – Saudi Arabia imeanza kutekeleza sheria ya kutotoka nje au curfew baada ya kuongezeka idadi ya watu walioambukizw augonjwa wa COVID-19 au corona nchini humo.
Habari ID: 3472594 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/23
TEHRAN (IQNA) - Majeshi ya Yemen yakishirikiana na kamati za Harakati ya Wananchi ya Answarullah yamefanikiwa kudhibiti eneo la Kufal, ambapo kuna kambi kubwa zaidi ya kijeshi ya muungano vamizi wa Saudi Arabia katika mkoa wa Ma'rib, katikati mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3472577 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/18
TEHRAN (IQNA) – Saudi Arabia imesitisha safari zote za ndege za kimataifa kwa muda wa wiki mbili kuanzia Machi 15 ili kueneza ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama kirusi corona.
Habari ID: 3472565 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/14
TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Masuala ya Kiislamu katika ufalme wa Saudi Arabia ameamuru kuwa sala ya Ijumaa katika misikiti nchini humo isizidi dakika 15.
Habari ID: 3472557 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/12
TEHRAN (IQNA) – Kesi ya kwanza ya kirusi cha Corona imeripotiwa katika mji mtakatifu wa Makka nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3472554 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/11
TEHRAN (IQNA) – Wakuu wa Saudi Arabia Jumatatu Jumatatu wametangaza kusitisha shughuli zote za usomaji Qur'ani na mafundisho mengine misikitini kufuatia hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama Corona.
Habari ID: 3472546 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/09
TEHRAN (IQNA) - Askari wa Gadi ya Mfalme wa Saudi Arabia imetekeleza amri ya mrithi wa mfalme wa nchi hiyo, Mohammad bin Salman na kuwatia nguvuni wanamfalme watatu wa nchi hiyo kwa tuhuma za uhaini.
Habari ID: 3472545 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/08