Waziri Mkuu wa utawala huo Benjamini Netanyahu na baadhi ya maafisa wa Shirika la Ujasusi la Israel (MOSSAD) wamefanya ziara ya siri kwa wakati mmoja na Mike Pompeo Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani.
Habari ID: 3473385 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/23
TEHRAN (IQNA) - Imedokezwa kuwa, Rais mteule wa Marekani, Joe Biden anatazamiwa kuangalia upya uhusiano wa karibu uliopo hivi sasa baina ya nchi hiyo na Saudi Arabia.
Habari ID: 3473361 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/15
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa mamilioni ya watu wa Yemen, hasa wanawake na watoto, wanakabiliwa na baa la njaa huku Saudia ikiendeleza vita dhidi ya nchi hiyo masikini zaidi katika bara Arabu.
Habari ID: 3473355 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/13
TEHRAN (IQNA) - Sehemu za Yemen zinakabiliwa na kiwango kikubwa cha utapiamlo kwa watoto, na nchi hiyo inaelekea kwenye baa kubwa la mgogoro wa usalama wa chakula.
Habari ID: 3473302 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/28
TEHRAN (IQNA) – Saudi Arabia imeshindwa kujiunga na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kufuatia pingamizi la shirika moja la kimataifa.
Habari ID: 3473258 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/14
Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali ya uokovu wa kitaifa ya Yemen amesema Marekani, Uingereza, Saudia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ni watenda jinai katika eneo zima la Ghuba ya Uajemi.
Habari ID: 3473246 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/10
TEHRAN (IQNA) -Kundi la kwanza la Waislamu wanaotekeleza Ibada ya Umrah limeingia leo katika Msikiti Mtakatifu wa Makka nchini Saudi Arabia kwa ajili ya Ibada ya Umrah baada ya ibada hiyo kufungwa kwa zaidi ya miezi sita kutokana na janga la corona.
Habari ID: 3473230 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/04
TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nchi za Nje ya Iran amejibu madai ya uongo yaliyotolewa na Saudi Arabia ikisema kuwa imenasa kundi la magaidi lenye mfungamano na Iran na kusema: Watawala wa Saudia wanapaswa kuchagua njia ya ukweli hekima na busara badala ya kueneza uzusha na imlaa wanazopewa na madola mengine.
Habari ID: 3473217 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/30
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Yemen likishirikiana na vikosi vya kujitolea vya wananchi limetekeleza shambulizi la ulipizaji kisasi dhidi ya kambi ya kijeshi ya Saudi Arabia na kuangamiza askari wasipopungua 10 wa kambi ya adui.
Habari ID: 3473201 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/24
TEHRAN (IQNA) - Mkutano wa 13 wa Baraza la Kimataifa la Mwamko wa Kiislamu umefanyika katika mji mkuu wa Iran, Tehran kwa lengo la kujadil namna nchi kadhaa za Kiarabu zilivyowasaliti Wapalestina kwa kuanzisha uhusiano na utawala dhalimu wa Israel unaokalia ardhi za Palestina kwa mabavu.
Habari ID: 3473177 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/17
Kiongozi wa Ansarullah nchini Yemen
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amewakosoa vikali watawala wa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na kusema tawala hizo mbili ni wabebe bendera ya unafiki, upotoshaji katika umma wa Kiislamu na wavurugaji umoja wa umma wa Kiislamu
Habari ID: 3473171 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/15
TEHRAN(IQNA)- Saudi Arabia inatafakari kuanzisha tena Ibada ya Umrah baada yakuisitisha kwa miezi kadhaa sasa.
Habari ID: 3473167 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/14
Waziri Mkuu wa Yemen
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Serikali ya Uwokozi wa Kitaifa ya Yemen amekosoa hatua ya Umoja wa Mataifa ya kuiondoa Saudi Arabia katika orodha ya wauaji wa watoto.
Habari ID: 3473060 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/12
TEHRAN (IQNA) – Kupunguzwa kwa kiasi kikubwa idadi ya Waislamu waliotekeleza ibada ya Hija mwaka huu kumeathiria vibaya sana uchumi wa Somalia ambapo hutegemea uuzaji wa mamilioni ya mifugo nchini Saudia wakati wa Hija.
Habari ID: 3473022 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/01
TEHRAN (IQNA) – Waislamu wamewasili katika mji mkuu wa Makka, kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hija.
Habari ID: 3473003 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/26
TEHRAN (IQNA) – Mfalme Salman wa Saudi Arabia amelazwa hospitalini katika mji mkuu wa nchi hiyo, Riyadh kutokana na matatizo ya kibofu cha nyongo.
Habari ID: 3472981 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/20
TEHRAN (IQNA) – Wakuu wa ufalme wa Saudi Arabia wametangaza protokali na kanuni za kiafya zitakazotumika katika ibada ya Hija mwaka huu ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472934 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/06
TEHRAN (IQNA) - Mahakama moja nchini Uturuki leo imeanza kusikiliza kesi ya maafisa 20 wa utawala wa Saudi Arabia waliohusika na mauaji ya mwandishi wa habari raia wa nchi hiyo Jamal Khashoggi.
Habari ID: 3472924 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/03
TEHRAN (IQNA) – Msomi na mhadhiri wa chuo kikuu nchini Kuwait ameibua utata katika mitandao ya kijamii baada ya kusema hatua ya Saudia wa kupunguza idadi ya mahujaji mwaka huu itaubadilisha Msikiti Mtakatifu wa Makka, Al Masjid al Haram, kuwa sawa na jumba la makumbusho.
Habari ID: 3472898 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/25
TEHRAN (IQNA) - Ufalme wa Saudi Arabia umetangaza rasmi kwamba ibada ya Hija mwaka huu itatekelezwa na watu wachache sana ambao ni raia na wakazi wa nchi hiyo.
Habari ID: 3472890 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/23