Siku ya 15 ya mwezi mtukufu wa Shaaban ni siku ya kuzaliwa Mtukufu Imam wa Zama Imam Mahadi (-Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake-af).
Habari ID: 3310767 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/03
Kongamano la 11 la Kimataifa la Itikadi ya Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake) limeanza Jumapili hii hapa mjini Tehran na kushirikisha pamoja shakhsia mbalimbali wa ndani na nje ya Iran
Habari ID: 3309948 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/01
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema maudhui ya U mahdi na kudhihiri Imam wa Zama (ATF) ni ahadi isiyopingika ya Mwenyezi Mungu kwa ajili ya kuongoza jamii ya mwanaadamu.
Habari ID: 1416911 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/12