marekani - Ukurasa 24

IQNA

TEHRAN (IQNA) Uchunguzi umebaini kuwa, asilimia 74 ya Waislamu nchini Marekani wanapinga namna rais Donald Trump wa nchi hiyo anavyoamiliana vibaya na jamii ya Waislamu katika nchi hiyo.
Habari ID: 3471088    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/27

TEHRAN (IQNA)-Kumeshuhudiwa ongezeko kubwa la chuki dhidi ya Waislamu Marekani kutokana na rais Donald Trump wa nchi hiyo.
Habari ID: 3471074    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/18

TEHRAN (IQNA)-Nakala ya Qur'ani Tukufu iliyoandikwa na mtumwa Mwafrika nchini Marekani inaonyeshwa mjini Beirut Lebanon.
Habari ID: 3471069    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/16

TEHRAN (IQNA)-Idadi ya Waislamu wanaoingia Marekani imepungua katika miezi mitano ya kwanza ya utawala wa Rais Donald Trump.
Habari ID: 3471064    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/13

TEHRAN (IQNA)-Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu wameuhujumu kwa mara nyingine msikiti katika jimbo la Tennessee nchini Marekani.
Habari ID: 3471061    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/11

TEHRAN (IQNA)-Wa marekani ambao wamebadilisha dini au itikadi na kuwa Waislamu wanakumbwa na matatizo maradufu zaidi ya Waislamu wengine Marekani.
Habari ID: 3471043    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/30

TEHRAN (IQNA)-Katika hatua inayoatathminiwa kuwa ya kibaguzi, Jeshi la Polisi nchini Marekani limedai mauaji ya binti Mwislamu nje ya msikiti si ya kigaidi.
Habari ID: 3471028    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/20

TEHRAN (IQNA)-Idadi ya vitendo vya chuki dhidi ya Waislamu Marekani viliongezeka kwa asilimia 57 mwaka uliopita wa 2016.
Habari ID: 3470974    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/11

TEHRAN-(IQNA)-Kumeshuhudiwa ongezeko la asilimia 1,000 la vitendo vya huki dhidi ya dini Tukufu ya Uislamu tokea Donald Trump achukue urasi wa Marekani Januari mwaka huu.
Habari ID: 3470956    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/28

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zinaipinga Iran ya Kiislamu kwa kuwa Uislamu umedhihiri nchini hapa na ndio unaozuia tamaa zao
Habari ID: 3470951    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/25

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, hakuna shaka yoyote kuhusu uadui wa madola ya kibeberu hususan Marekani dhidi ya taifa la Iran na kwamba uadui huo umekuwa ukioneshwa muda wote kwa sura tofauti.
Habari ID: 3470940    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/19

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa eneo la Amerika Kaskazni wamekutana katika la 42 la kila mwaka ambapo wamejadili changamoto mbali mbali wanazokabiliana nazo katika nchi za Canada na Marekani hasa katika utawala wa Donald Trump.
Habari ID: 3470938    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/17

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria hujuma ya hivi karibuni ya Marekani nchini Syria na kusema: "Ni jambo linalotarajiwa kwa Marekani kutenda jinai na kukiuka mambo na kudhulumu na imewahi kuyafanya hayo katika maeneo mengine duniani."
Habari ID: 3470928    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/09

TEHRAN (IQNA)-Marekani imelaaniwa vikali kwa kutekeleza hujuma iliyo kinyume cha sheria dhidi ya Syria Ijumaa alfajiri na kulenga kituo cha kijeshi ambacho hutumiwa na ndege zinazowashambulia magaidi wa ISIS.
Habari ID: 3470921    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/07

TEHRAN (IQNA)-Mwanariadha Mwanamke Mwislamu M marekani aliyeiwakilisha nchi yake katika Olimpiki amemuandikia barua ya malalamiko Rais Donald Trump wa nchi hiyo.
Habari ID: 3470905    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/23

IQNA-Moto umeteketeza Msikiti na Kituo Kiislamu cha Ypsilanti mjini Pittsfield, jimboni Michigan nchini Markeani
Habari ID: 3470893    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/13

IQNA: Kwa mara ya kwanza katika historia ya mbio maarufu za marathon za Boston, Marekani, mwanamke Mwislamu atashiriki akiwa amevaa Hijabu.
Habari ID: 3470891    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/13

IQNA: Daktari mwenye umri wa miaka 32 anatarajia kuwa Mwislamu kwa kwanza gavana nchini Marekani baada ya kutangaza nia ya kugombea ugavana wa jimbo la Michigan.
Habari ID: 3470875    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/03

IQNA-Mwanae bingwa wa masumbwi duniani marehemu Muhammad Ali, ametiwa mbaroni katika uwanja wa ndege wa jimbo la Florida nchini Marekani kwa sababu tu an jina la Kiislamu.
Habari ID: 3470868    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/26

Sayyid Hassan Nasrallah
IQNA-Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo hauuogopi utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wala shetani mkuu Marekani.
Habari ID: 3470854    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/17