iqna

IQNA

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema Iran ilifnaya mazungmzo ya nyuklia na nchi za 5+1 ili iondolewe vikwazo na kwa hivyo hakutakuwa na mapatano baina ya pande mbili iwapo vikwazo havitaondolewa.
Habari ID: 3357685    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/03

Inakadiriwa kuwa Waislamu wasiopungua milioni nne wameuawa katika miongo ya hivi karibuni Mashariki ya Kati katika vita vilivyoanzisha na madola ya maghairbi hasa Marekani na Marekani na Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO.
Habari ID: 3350564    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/23

Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Marekani inalitumia kundi la kigaidi la Daesh kuligawa eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3344476    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/15

Bi.Samantha Elauf aliyenyimwa kazi na shirika la Abercrombie & Fitch nchini Marekani kwa sababu alivaa vazi la staha la Hijabu wakati wa mahojiano ya kutafuta kazi sasa amelipwa fidia kufuatia amri ya mahakama.
Habari ID: 3334845    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/25

Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kupambana na mabeberu na mfumo wa kibeberu na kiistikbari kuna misingi katika Qur'ani tukufu na hakuwezi kusimamishwa, na Marekani ndiyo kielelezo kamili cha beberu katika zama hizi.
Habari ID: 3327198    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/12

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa wale wanaotaka kuficha uadui wa Marekani na baadhi ya vibaraka wao kwa kutumia nyenzo za kipropaganda ni wasaliti wa taifa na nchi ya Iran.
Habari ID: 3320675    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/28

Waislamu nchini Marekani wamefanya maandamano makubwa kulaani mauaji ya hivi karibuni dhidi ya Wakristo weusi wenye asili ya Afrika ndani ya kanisa moja katika jimbo la Carolina Kusini.
Habari ID: 3317492    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/22

Waislamu nchini Marekani wameanzisha kampeni yenye lengo la kuonesha sura sahini na adhimu ya Mtukufu Mtume Muhammad SAW kwa wafuasi wa dini nyingine duniani.
Habari ID: 3316510    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/20

Ubaguzi wa rangi Marekani
Watu 9 wameuawa kwenye shambulizi la kibaguzi dhidi ya kanisa moja la Wa marekani Weusi usiku wa kuamkia leo katika jimbo la Carolina Kusini.
Habari ID: 3315932    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/19

Kwa msaada wa Chuo Kikuu cha Minnesota Marekani, wasichana Waislamu katika eneo la Minneapolis wamebuni mavazi mapya ya timu yao ya baskatboli, mavazi ambayo yanazingatia mipaka ya Kiislamu.
Habari ID: 3313760    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/13

Wajumbe wa Baraza la Uhusiano wa Kiislamu Marekani wameamua kuitisha mkutano na waandishi wa habari katika jimbo la Arizona ili kupambana na vitendo vya kueneza chuki dhidi ya dini hiyo tukufu ya Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3308862    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/29

Sayyid Hassan Nasrallah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Lebanon, Hizbullah, amesema kuibuka Matakfiri ni katika njama za Marekani na Wazayuni.
Habari ID: 3304295    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/17

Jameel Syed, mwanaharakati Mwislamu wa jimbo la Michigan nchini Marekani amekamilisha safari yake ya siku 35 ya kuzunguka na kusoma adhana katika majimbo yote 50 ya nchi hiyo.
Habari ID: 3284317    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/11

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema haafiki mazungumzo wakati kunakuwepo vitisho na hivyo wakuu wa sera za kigeni Iran na wanaoshiriki katika mazungumzo wanapaswa kulinda na kuzingatia kwa kina misingi na mistari myekundu.
Habari ID: 3269139    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/07

Viongozi wa dini mbalimbali wamehudhuria katika msikiti wa Tempe katika jimbo la Arizona nchini Marekani na kulaani vikali hatua ya kundi la kibaguzi na linalopiga vita Uislamu ya kuvunjia heshima kitabu kitakatifu cha Qur'ani.
Habari ID: 3196196    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/23

Afisa mwandamizi wa Harakati ya Hizbullah nchini Lebanon amelaani hujuma ya kijeshi ya Saudi Arabia nchini Yemen na kuitaja kuwa jinai huku akiuonya utawala huo kibaraka wa Marekani kuwa utapata hasara kubwa.
Habari ID: 3148169    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/15

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wa marekani kila mara unapokaribia muda ulioainishwa kwa ajili ya kumalizika mazungumzo, huwa kikwazo cha kukwamisha suala hilo na kwamba wanafanya hivyo ili kufikia malengo yao kupitia hila hizo.
Habari ID: 2971496    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/13

Wanafunzi Waislamu katika jiji la New York wamekuwa wakikabiliwa na miamala ya kibaguzi na kuvunjiwa heshima kutokana na kuongezeka hisia za chuki dhidi ya dini Tukufu ya Uislamu nchini Marekani.
Habari ID: 2954393    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/09

Waislamu nchini Marekani wameelezea wasi wasi wao kutokana na kuongezeka wimbi la ubaguzi na hujuma dhidi yao.
Habari ID: 2897132    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/25

Rais Barack Obama wa Marekani amesema kuwa, nchi hiyo haina vita na Uislamu, bali inapambana na watu wanaoupotosha Uislamu.
Habari ID: 2876869    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/21