iqna

IQNA

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiisalmu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema chanzo kikuu cha vita, ukosefu wa usalama katika eneo la Kusini mwa Asia na Ulimwengu wa Kiislamu ni madola makubwa ya kiistikbari yakiongozwa na Marekani.
Habari ID: 3470437    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/06

Watu wasiopungua 50 wameuawa na wengine 53 kujeruhiwa katika ufyatuaji wa risasi uliotokea katika jimbo la Florida nchini Marekani.
Habari ID: 3470382    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/13

Ofisa mwenye cheo cha meja katika jeshi la Marekani amekamatwa baada kujaribu kuwaua msikitini na kuwazika hapo katika jimbo la Carolina Kaskazini.
Habari ID: 3470377    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/11

Waislamu nchini Marekani katika jimbo la New Mexico wametangaza kuimarisha harakati za kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).
Habari ID: 3470364    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/07

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Marekani ndio muungaji mkono mkubwa zaidi wa magaidi wa kundi la ISIS au Daesh na makundi mengine ya kigaidi duniani.
Habari ID: 3470360    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/05

Chuki dhidi ya Uislamu
Kundi la wanaume jimboni Texas nchini Marekani wanapata mafunzo maalumu kwa ajili ya kuwaua Waislamu huku wakitumbukiza risasi zao katika damu au mafuta ya nguruwe katika mazoezi hayo.
Habari ID: 3470345    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/29

Waislamu wa Marekani hawakabiliwi na matatizo katika kipindi cha uhai wao tu bali hata wanapofariki dunia matatizo hayo bado huwaandama.
Habari ID: 3470331    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/24

Wanawake Waisalmu wa madhehebu za Shia na Suni nchini Marekani wamefanya kongamano maalumu kwa lengo la kuimarisha umoja wa Kiislamu baina yao.
Habari ID: 3470282    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/01

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema ili kupambana na hatari ya ugaidi na muamala wa kindumakuwili wa madola makubwa, kuna haja kwa nchi za Kiislamu kuongeza ushirikiano wao katika fremu ya siasa za kutimia akili na za kimantiki.
Habari ID: 3470242    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/11

Kiongozi Muadhamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani na baadhi ya nchi za Magharibi si za kuaminika.
Habari ID: 3470231    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/06

HRW
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema Uingereza na Marekani zinashirikiana na Saudi Arabia kuten
Habari ID: 3470226    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/02

Waislamu nchini Marekani wanakabiliana na wimbi jipya la chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia hata baada ya kuwa wamelaani vikali hujuma ya kigaidi mjini Brussels, Ubelgiji Jumanne hii.
Habari ID: 3470215    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/26

Waislamu nchini Marekani Baraza wamemkosoa mgombea uteuzi wa kiti cha rais katika chama Republican Ted Cruz kufuatia matamshi yake ya kutaka Waislamu wafanyiwe msako mkali.
Habari ID: 3470212    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/24

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuhusu kuendelea uadui wa Marekani na taifa la Iran na kusema kuwa, 'Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitalegeza msimamo kuhusu misimamo yake ya kimsingi.'
Habari ID: 3470207    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/20

Wanawake Waislamu nchini Marekani wametakiwa kujifunza mbinu za kujilinda na kujihami wanaposhambuliwa kutokana na kuongezeka chuki dhidi ya Waislamu na Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3470195    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/14

Profesa Mkristo katika Chuo Kikuu cha Kikristo huko Illinois Marekani aliyevaa hijabu kubainisha mshikamano wake na Wa marekani Waislamu wanaobaguliwa ametimuliwa chuoni hapo.
Habari ID: 3465818    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/19

Donald Trump, mwanasiasa wa chama cha Republicans amesema baadhi ya waitifaki wa Marekani, ikiwemo Israel, wanaliunga mkono na kulipa misaada kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
Habari ID: 3463979    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/16

Mwanamke Marekani Muislamu mwenye asili ya Afrika ameapishwa kwa kutumia Qurani kuwa jaji, katika jimbo la Brooklyn.
Habari ID: 3463116    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/14

Mwanabondia mashuhuri duniani Mohammad Ali ametoa wito kwa Waislamu hasa nchini Marekani kusimama kidete na kuwalaani wale wanaoeneza chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3462056    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/11

Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani CAIR limemlaani Donald Trump anayewania kuteuliwa kugombea urais wa tikiti ya chama cha Republican, kufuatia matamshi yake kuwa Waislamu watimuliwe Marekani.
Habari ID: 3461178    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/08