TEHRAN (IQNA) – Iwapo Waislamu nchini Marekani wanataka 'kuonekana' na masuala yao yazingatiwe katika ngazi za maamuzi muhimu, basi wanapaswa kushiriki katika uchaguzi ujao wa rais nchini humo.
Habari ID: 3472430 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/01
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema pendekezo la Marekani lililopewa jina la 'Muamala wa Karne' katu halitazaa matunda kwa Rehema za Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3472421 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/30
TEHRAN (IQNA) – Shirika la Ndege la Delta Airlines la Marekani limetozwa faini ya dola 50,000 kwa kuwatimua wasafiri watatu Waislamu ambao tayari walikuwa wameshapanda ndege hata baada ya maafisa wa usalama kusema hakukuwa na tatizo lolote la usalama.
Habari ID: 3472407 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/26
TEHRAN (IQNA) - Brigedi za Hizbullah ya Iraq zimesema kuwa mapinduzi ya wananchi wa nchi hiyo yataendelea hadi wavamizi wote wa Ki marekani watakapofurushwa kikamilifu nchini Iraq na katika eneo zima la Asia Magharibi.
Habari ID: 3472405 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/25
TEHRAN (IQNA) - Mwakilishi maalumu wa Marekani katika masuala ya Iran ametoa matamshi ambayo yanashiria utambulisho wa kigaidi wa serikali ya Washington ambapo amezungumza kuhusu kumuua kamanda aliyechukua nafasi ya kamanda Muirani Shahidi Luteni Jenerali Qasem Soleimani.
Habari ID: 3472399 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/23
TEHRAN (IQNA) – Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limeanzisha kampeni maalumu ya kuwahimiza Waislamu kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa rais utakaofanyika nchini humo mwaka 2020.
Habari ID: 3472395 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/22
TEHRAN (IQNA) – Mwenyekiti wa Baraza la Kiislamu Malaysia (MAPIM) amesema hatua ya Marekani ya kumuua kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Luteni Jenerali Qassem Soleimani ni ugaidi wa kiserikali na ukweli wa mambo ni kuwa Rais Donald Trump wa Marekani ni muuaji.
Habari ID: 3472372 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/14
TEHRAN (IQNA) – Kampeni mpya imezinduliwa huko mjini Dallas, Marekani kwa lengo la kuelimisha umma kuhusu misingi ya mafundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3472371 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/14
TEHRAN (IQNA) - Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limekosoa ujumbe wa Twitter wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo wenye kukejeli Uislamu na Waislamu na kusema ujumbe huo unaweza kuhatarisha maisha ya Wa marekani Waislamu na Masingasinga.
Habari ID: 3472370 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/14
TEHRAN (IQNA) -Baraza la Wawakilishi la Marekani limepitisha muswada wa kupunguza mamlaka ya rais wa nchi hiyo Donald Trump katika masuala ya vita.
Habari ID: 3472360 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/10
TEHRAN (IQNA) – Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limetoa ushauri kwa Wairani-Wa marekani (Wairani wenye uraia wa Marekani) baada ya kubainika kuwa wanasumbuliwa na kubaguliwa na maafisa wa usalama kufuatia matukio ya hivi karibuni katika eneo la Asia Magharibi.
Habari ID: 3472349 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/07
TEHRAN (IQNA) - Chama tawala cha ANC cha Afrika Kusini kimetoa taarifa rasmi na kulaani hujuma ya Jeshi la Markeani ambayo ilipelekea kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Qods cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC)
Habari ID: 3472346 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/06
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametuma salamu za rambirambi kutokana na kuuliwa shahidi Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Luteni Jenerali Qassem Suleimani na kusema kuwa: Kisasi kikali kinawasubiri watenda jinai ambao mikono yao michafu imemwaga damu yake na mashahidi wengine katika shambulizi la usiku wa kuamkia leo.
Habari ID: 3472329 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/03
TEHRAN (IQNA) - Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Luteni Jenerali Qassem Suleimani na naibu mkuu wa kikosi cha kujitolea cha wananchi wa Iraq, al Hasdul Shaabi, Abu Mahdi al Muhandes wameuawa shahidi mapema leo Ijumaa katika shambulizi la roketi lililofyatuliwa na helikopta ya Marekani katika barabara ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad nchini Iraq.
Habari ID: 3472328 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/03
TEHRAN (IQNA) – Ubalozi wa Marekani mjini Baghdad nchini Iraq, Jumatnao ulitangaza kusitisha huduma zote kwa umma kufuatia maandamano ya wananchi waliokuwa na hasira wa Iraq nje ya ubalozi huo.
Habari ID: 3472326 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/02
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinzudi ya Kiislamu akibainisha kwamba, 'Mimi, serikali na taifa la Iran tunalaani vikali shambulizi la Marekani dhidi ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq', amesisitiza kuwa, watu wa eneo hili wanaichukia sana Marekani.
Habari ID: 3472324 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/01
TEHRAN (IQNA) –Mkutano mkubwa zaidi ya Waislamu Marekani umefanyika katika mji wa Chicago na kuwaleta pamoja Waislamu zaidi ya 25,000 na wageni waalikuwa kutoka dini zingine.
Habari ID: 3472319 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/31
TEHRAN (IQNA) – Waislamu katika eneo moja la jimbo la California nchini Marekani hatimaye wamepata idhini ya kujenga msikiti baada ya mapambanao ya miaka 13.
Habari ID: 3472294 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/21
Kamanda Mkuu wa IRGC
TEHRAN (IQNA)- Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) mezungumzia mwamko na muono wa mbali wa wananchi wa Iran katika matukio ya hivi karibuni humu nchini na kusisitiza kuwa, wiki zilizopita, wananchi wa Iran walitoa pigo jingine kubwa kwa mabeberu hususan Marekani.
Habari ID: 3472256 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/04
TEHRAN (IQNA)- Msikiti umeteketezwa moto mjini Chicago nchini Marekani katika tukio linaloaminika kutekelezwa na magadidi wenye chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.
Habari ID: 3472239 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/29