iqna

IQNA

Mufti Mkuu wa Misri, Shawki Ibrahim Abdel Karim Allam amesema kuwa, ni haramu kuunga mkono makundi ya kigaidi.
Habari ID: 1448164    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/08

Mtangazaji wa kanali ya televisheni ya CBC ya Misri ametoa matamshi machafu na ya dharau akidai kuwa ni upuuzi kufundisha muujiza wa Qur'ani na Suna za Mtume katika shule za nchi hiyo.
Habari ID: 1448156    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/08