IQNA – Kampuni zinazobobea katika huduma za chakula kwa wingi zinakaribishwa kuomba nafasi ya heshima ya kutoa futari katika Msikiti Mtukufu wa Makkah (Masjid al Haram) na Msikiti wa Mtume (SAW), Al Masjid An Nabawi mjini Madinah wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani 2026.
Habari ID: 3481733 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/29
Wizara ya Afya ya Saudi Arabia imeanzisha kampeni maalumu ya kukabiliana na ugonjwa hatari wa Ebola katika kipindi hiki cha kuanza msimu wa Hija.
Habari ID: 1450843 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/16