Afya na Dini
MECCA (IQNA) - Wakala unaosimamia maeneo mawili matukufu zaidi ya Uislamu huko Makka na Madina umetoa ushauri kwa Waislamu wa kisukari wanaopanga kufanya Umra.
Habari ID: 3477739 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/15
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Bangladesh Abdul Latif Siddique amefukuzwa kazi kwa kuvunjia heshima ibada ya Hija na Mtume Muhammad (saw).
Habari ID: 1456641 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/03