iqna

IQNA

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Bangladesh Abdul Latif Siddique amefukuzwa kazi kwa kuvunjia heshima ibada ya Hija na Mtume Muhammad (saw).
Habari ID: 1456641    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/03