iqna

IQNA

Watetezi wa Palestina
IQNA - Mikutano ya hadhara imefanyika katika miji katika nchi mbalimbali za Magharibi mwishoni mwa juma kupinga mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza na kutaka kuwasilishwa kwa misaada ya kibinadamu katika eneo lililozingirwa.
Habari ID: 3478086    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/24

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA)- Kutokana na udharura na haja ya kuongezwa na kuimarishwa umoja na mshikamano baina ya wapenda uhuru na wapigania haki hususan nchi za Kiislamu katika kuilaani Israel, Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia, Mahathir Mohammad amesema: “Kwa mujibu wa Qur’ani Tukufu, ili nchi za Kiislamu zimshinde Mzayuni na adui wao wa pamoja hazina njia nyingine ghairi ya kudumisha umoja, kuimarisha msingi wa ulinzi na nguvu za kijeshi.
Habari ID: 3477964    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/29

Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA) – Mauaji ya kimbari ambayo yanatekelezwa na utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza yalitokea kwa sababu Umma wa Kiislamu umegawanyika, jambo ambalo ni la kusikitisha kabisa, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na umma wa Nigeria amesema.
Habari ID: 3477956    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/28

Jinai za Israel Gaza
TEHRAN (IQNA)- Wataalam wa Umoja wa Mataifa wametoa wito kwa Jumuiya ya kimataifa kuzuia mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Palestina wa Gaza huku utawala katili wa Israel ukiendeleza vita vyake dhidi ya eneo hilo lililozingirwa.
Habari ID: 3477903    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/17

Vijana wasomaji wa Qur'ani kutoka nchi kadhaa za Afrika Mashariki wamekutana Kigali Rwanda na kubainisha wazi kuwa wanapinga idiolojia ya mauaji ya kimbari .
Habari ID: 3470458    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/17