iqna

IQNA

Jinai za Israel
IQNA-Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ametoa mwito wa kufanyika uchunguzi wa jamii ya kimataifa kuhusu "mauaji ya halaiki" ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza
Habari ID: 3479767    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/18

Watetezi wa Palestina
IQNA - Mgomo wa kula ulioanzishwa na idadi kadhaa ya wanaharakati wa Jordan kwa mshikamano na watu wa Gaza umeingia siku yake ya kumi Jumatatu.
Habari ID: 3479741    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/12

Diplomasia
IQNA - Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema utawala wa Marekani unaomaliza muda wake unatarajiwa kutumia muda uliobakia madarakani kukomesha hujuma za Israel huko Gaza na Lebanon.
Habari ID: 3479738    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/11

Siasa
IQNA - Mwenyekiti wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu la Iran ameilaani Marekani kwa kutoa uungaji mkono wa kila namna kwa utawala wa Kizayuni wa Israel katika hujuma zake za mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3479706    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/05

Watetezi wa Palestina
IQNA – Madiwani 114 wa Muslim wa chama tawala cha Leba Uingereza wamemuandikia barua Waziri Mkuu wa Uingereza, wakitaka kuwekewa vikwazo vya mara moja vya silaha dhidi ya Israel huku vikosi vya utawala huo vikiendelea kutumia silaha na zana za viita  zinazotolewa na nchi za Magharibi kutekeleza mauaji ya kimbari huko Palestina na Lebanon.
Habari ID: 3479611    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/18

Jinai za Israel
IQNA - Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway amelaani "vita vya kikatili" vya utawala wa Israel huko Gaza na ukiukaji wake wa kanuni za vita.
Habari ID: 3479584    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/13

Watetezi wa Palestina
IQNA - Wataalamu na wasomii walioshiriki katika mkutano wa kimataifa wa haki za binadamu mjini Tehran wameikosoa nchi za Magharibi kwa undumilakuwili na unafiki kuhusu suala la Palestina.
Habari ID: 3479571    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/10

Jinai za Israel
IQNA - Idadi ya Wapalestina waliouawa kwa mabomu na risasi za Israel katika Ukanda wa Gaza tokea Oktoba mwaka jana sasa imepindukia 42,000, wengi wakiwa ni wanawake na watoto.
Habari ID: 3479569    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/10

Jinai za Israel
IQNA – Ukweli kwamba utawala haramu wa Israel umeangamiza familia 902 katika Ukanda wa Gaza katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita ni ushahidi usiopingika wa dhamira ya utawala wa Israel kutekeleza mauaji ya kimbari .
Habari ID: 3479549    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/06

Jinai za Israel
IQNA - Apple, YouTube na majukwaa mengine ya vyombo vya habari yamehimizwa na kikundi cha kutetea Waislamu cha Marekani kufuta podikasti ya kila wiki ya Wazayuni Waisraeli ya lugha ya Kiingereza ambayo husifu mauaji ya kimbari ya Wapalestina huko Gaza.
Habari ID: 3479385    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/05

Jinai za Israel
IQNA – Utawala wa Kizayuni wa Israel umekuwa ukitumia maji kama silaha ya vita dhidi ya Wapalestina huko Gaza, ikionyesha kutojali maisha ya binadamu na kukiuka sheria za kimataifa.
Habari ID: 3479185    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/26

IQNA-Kongresi ya Marekani imekosolewa sana kwa kumpa Waziri Mkuu wa Israel, katili Benjamin Netanyahu, jukwaa la kuhutubia wawakilishi na maseneta wa nchi hiyo licha ya kiongozi huyo kutambuliwa kuwa ni mhalifu wa kivita na mtenda jinai dhidi ya binanadamu kutokana na mauaji ya kimbari yanayoendelea huko Gaza.
Habari ID: 3479180    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/25

Kadhia ya Palestina
Vikosi vya utawala katili wa Kizayuni wa Israel vimefanya mashambulizi ya kikatili dhidi ya kambi ya wakimbizi ya al-Mawasi karibu na mji wa Khan Younis, kusini mwa Gaza na kuua Wapalestina wasiopungua 90.
Habari ID: 3479120    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/14

Kadhia ya Palestina
Njaa imetanda katika Ukanda wa Gaza baada ya zaidi ya miezi tisa ya vita vya mauaji ya halaiki ya Israel kwenye eneo la pwani ya Palestina, kundi la wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa wanaonya.
Habari ID: 3479106    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/11

Kadhia ya Palestina
Shirika la Euro-Mediterranean Human Rights Monitor limepokea ripoti kwamba vikosi vya utawala katili wa Israel vinahusika katika "mauaji yaliyoenea" katika vitongoji vya Shujayea na Jdaida katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479034    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/30

Muqawama
IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuhusu mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Rafah kusini mwa Ukanda wa Ghaza kwamba, jinai hiyo ya kutisha uliyofanya utawala huo ghasibu inapasa iwaamshe na kuwatoa kwenye usingizi wa mghafala watu waliojisahau duniani na walioshindwa kuwa na msimamo.
Habari ID: 3478901    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/29

Jinai za Israel
IQNA-Rais wa Venezuela amezilaani Marekani na Umoja wa Ulaya kwa kutofanya lolote kukomesha mauaji "ya kutisha" na ya Kinazi ya Israel dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3478899    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/29

Watetezi wa Palestina
IQNA - Wakati wa warsha iliyofanyika katika maonyesho ya sanaa yanayoendelea Tehran idadi kubwa ya waandishi wa kaligrafia wameandika Surah Al-Fil ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478841    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/18

Jinai za Israel
IQNA - Vikosi vya Yemen vitaendelea kulenga meli yoyote inayoelekea bandari zinazokaliwa kwa mabavu na Israel, bila kujali kama zinapitia Bahari ya Sham au la, kiongozi wa harakati ya Mapambano ya Kiislamu (muqawma)  ya Ansarullah alisema.
Habari ID: 3478838    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/17

Watetezi wa Palestine
IQNA - Chuo kikuu kimoja nchini Ubelgiji kimesema kitasitisha ushirikiano wake na taasisi mbili za Israel.
Habari ID: 3478801    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/10