Kadhia ya Palestina
Shirika la Euro-Mediterranean Human Rights Monitor limepokea ripoti kwamba vikosi vya utawala katili wa Israel vinahusika katika "mauaji yaliyoenea" katika vitongoji vya Shujayea na Jdaida katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479034 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/30
Muqawama
IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuhusu mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Rafah kusini mwa Ukanda wa Ghaza kwamba, jinai hiyo ya kutisha uliyofanya utawala huo ghasibu inapasa iwaamshe na kuwatoa kwenye usingizi wa mghafala watu waliojisahau duniani na walioshindwa kuwa na msimamo.
Habari ID: 3478901 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/29
Jinai za Israel
IQNA-Rais wa Venezuela amezilaani Marekani na Umoja wa Ulaya kwa kutofanya lolote kukomesha mauaji "ya kutisha" na ya Kinazi ya Israel dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3478899 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/29
Watetezi wa Palestina
IQNA - Wakati wa warsha iliyofanyika katika maonyesho ya sanaa yanayoendelea Tehran idadi kubwa ya waandishi wa kaligrafia wameandika Surah Al-Fil ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478841 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/18
Jinai za Israel
IQNA - Vikosi vya Yemen vitaendelea kulenga meli yoyote inayoelekea bandari zinazokaliwa kwa mabavu na Israel, bila kujali kama zinapitia Bahari ya Sham au la, kiongozi wa harakati ya Mapambano ya Kiislamu (muqawma) ya Ansarullah alisema.
Habari ID: 3478838 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/17
Watetezi wa Palestine
IQNA - Chuo kikuu kimoja nchini Ubelgiji kimesema kitasitisha ushirikiano wake na taasisi mbili za Israel.
Habari ID: 3478801 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/10
Watetezi wa Palestina
IQNA - Vuguvugu la wanafunzi wanaounga mkono Palestina, wanaokabiliwa na mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na Israel, limeenea kote nchini Marekani licha ya ukandamizaji wa polisi, huku wanafunzi wa vyuo vikuu vingi kama vile Yale, New York, Harvard, Texas huko Austin, na Kusini mwa California wakijiunga nayo.
Habari ID: 3478759 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/03
Jinai za Israel
IQNA: Wakati kukiwa na ongezeko la wito wa kimataifa kwa Israel kujizuia na mashambulizi zaidi Gaza na ripoti za Mei Mosi za mashambulizi mengine mabaya, wahudumu wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa wamesisitiza kuhusu athari mbaya zinazoendelea za vita hiyo na haja ya kuhakikisha njia za kuaminika za usambazaji wa misaada kwa watu wanaohitaji kwa udi na uvumba zinapatikana.
Habari ID: 3478756 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/02
Watetezi wa Palestina
IQNA-Marekani ndiyo muungaji mkono mkubwa zaidi wa utawala wa Kizayuni wa Israel ambapo serikali ya Biden imetoa msaada mkubwa zaidi wa kijeshi na silaha kwa Tel Aviv wakati wa vita vya Gaza, ambavyo vimeingia katika mwezi wake wa saba.
Habari ID: 3478745 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/28
Mauaji ya Kimbari Gaza
IQNA - Ili kushughulikia mahitaji ya dharura zaidi ya Wapalestina huko Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limewasilisha ombi la dharura la msaada wa dola bilioni 1.21.
Habari ID: 3478731 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/25
Jina za Israel
IQNA - Msemaji wa Umoja wa Mataifa ameitaja ripoti kuhusu kugunduliwa kwa makaburi ya halaiki huko Gaza kuwa ni ya kushtusha, huku ushahidi wa awali ukionyesha utawala haramu wa Israel umehusika katika jinai hiyo.
Habari ID: 3478724 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/23
Jinai za Israel
IQNA - Barabara kuu ya 101 ya San Francisco kwenye daraja la Golden Gate ilifungwa na waandamanaji wanaounga mkono Palestina wakitaka kukomesha uungaji mkono wa Marekani kwa utawala katili wa Israel ambao unaendeleza vita vya mauaji ya kimbari Gaza.
Habari ID: 3478688 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/16
Qur'ani na Palestina
IQNA - Programu khitma ya Qur'ani zilifanyika Jumatatu katika shule zaidi ya 20,000 nchini Iran na nchi kadhaa duaniani kuwakumbuka mashahidi mabarobaro Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478660 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/09
Matukio ya Palestina
IQNA-Francesca Alnanese Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina alisema jana katika ripoti kali iliyowasilishwa kwa umoja huo kuwa Israel imeua watoto wengi zaidi katika Ukanda wa Gaza katika kipindi cha miezi mitano iliyopita.
Habari ID: 3478514 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/14
Kadhia ya Palestina
IQNA - Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) amesema nchi za Kiislamu zinapaswa kuunga mkono kikamilifu Afrika Kusini katika kesi yake ya kisheria dhidi ya utawala wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ)
Habari ID: 3478502 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/13
Kadhia ya Palestina
IQNA-Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA, limeonya kuhusu vifo vingi vya watoto katika Ukanda wa Gaza huku kukiwa na ukosefu mkubwa wa chakula na upatikanaji wa maji salama na huduma za matibabu katika eneo hilo.
Habari ID: 3478456 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/05
Kadhia ya Palestina
IQNA - Makundi kadhaa ya wapigania ukombozi wa Palestina yametoa wito kwa watetezi wa haki kote ulimwenguni kujiunga na kampeni ya kimataifa iliyopewa jina la "Kimbunga cha Ramadhani.
Habari ID: 3478449 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/04
IQNA- Wapalestina wanaoishi katika kambi za wakimbizi Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza, wanajiandaa kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani huku wanajeshi wa Israel wakiendelea vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya eneo hilo.
Habari ID: 3478445 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/04
Watetezi wa Palestina
IQNA-Maandamano makubwa yamefanyika mbele ya ubalozi wa Israel mjini Washington DC, Marekani kulaani vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendelezwa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478443 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/03
Jinai za Israel
IQNA-Viongozi wa dunia wameendelea kulaani kitendo cha wanajeshi wa Israel kuwaua Wapalestina 116 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 760 waliokuwa wakisubiri msaada wa chakula katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3478438 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/02