Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri Ahmad al Tayyib ametoa taarifa akilaani kitendo cha kundi la kigaidi la Daesh cha kumchoma moto akiwa hai rubani Moaz al-Kassasbeh wa Jordan. Amekitaja kitendo hicho kuwa ni cha kigaidi na kishetani.
Habari ID: 2809497 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/04
Kundi la Waislamu wa mji wa Buffalo katika jimbo la New York huko Marekani imewagawia wananchi wa mji huo mashada ya maua yenye semi na maneno ya Mitume wa dini za mbinguni.
Habari ID: 1460244 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/14