iqna

IQNA

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amemteua Dakta Muhammad Sarafraz kuwa Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) kwa kipindi cha miaka mitano.
Habari ID: 1471116    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/08