iqna

IQNA

IQNA – Mji mtukufu wa Karbala, Iraq, umefurika wafanyaziyara kwa wingi mno katika siku za mwisho ya mwezi wa Safar, kwenye makaburi matukufu ya Imam Hussein (AS) pamoja na ndugu yake, Hadhrat Abbas (AS).
Habari ID: 3481123    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/23

Tuko katika tarehe ya 28 Mfunguo Tano Safar ambayo inasadifiana na siku ya kukumbuka alipofariki dunia Bwana Mtume Muhammad SAW. Siku kama hii mwaka wa 11 Hijria, Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad al Mustafa, SAW alitangulia mbele ya Haki akiwa ametekeleza vilivyo jukumu alilopewa na Mola wake Mlezi.
Habari ID: 3461857    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/09

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Takribani miaka 1375 iliyopita, ilifanyika majlisi ya kwanza ya siku ya Arubaini tangu kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) Imam Hussein bin Ali (AS) akiwa na watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume ambao waliuawa shahidi tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria.
Habari ID: 2617894    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/13