Vikosi vya usalama nchini Saudi Arabia vimezishambulia nyumba kadhaa za jamii ya Waislamu wa Kishia katika mji wa Awamiya katika mkoa wa Qatif wakati huu ambapo utawala wa Saudi Arabia umezidisha vitendo vyake vya ukandamizaji dhidi ya wapinzani nchini humo.
Habari ID: 2699769 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/12