IQNA - Maandalizi yanaendelea kwa kasi katika mji mtukufu wa Makka wakati msimu wa kilele wa Umrah au hija ndogo unapokaribia.
Habari ID: 3480171 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/07
Waislamu na hata wasiokuwa Waislamu duniani wanaendelea kulaani kitendo cha hivi karibuni cha jarida moja la Ufaransa la Charlie Hebdo kuchora vibonzo vinavyomvunjia heshima Mtumu Mtukufu wa Uislamu, Mohammad SAW.
Habari ID: 2766561 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/26