iqna

IQNA

Idara ya Mfalme wa Saudi Arabia, Salman bin Abdul Aziz imelizuia shirika la ujenzi la Bin Ladin kuendelea na shughuli zake za ujenzi nchini humo baada ya kutokea ajali ya kreni auwinchi iliyopelekea zaidi ya mahujaji 107 kufariki dunia mjini Makka.
Habari ID: 3363334    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/16