iqna

IQNA

Kampeni ya kusambaza zawadi za nakala za Qur'ani tukufu imezinduliwa Marekani na Baraza la Uhusiano wa Kiislamu Marekani CAIR katika kujibu matamshi yenye chuki dhidi ya Uislamu ya Ben Carson, anayetaka kugombea kiti cha urais nchini humo mwakani kwa tikiti ya chama cha Republican.
Habari ID: 3366378    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/22

Waislamu nchini Marekani wamemkosoa vikali Ben Carson anayetaka kugombea kiti cha urais kwa tikiti ya chama cha Republican kufuatia matamshi yake kuwa Mwislamu hapaswi kuchaguliwa kuwa rais wa Marekani.
Habari ID: 3365872    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/21