AL-QUDS (IQNA) - Jeshi la utawala ghasibu wa Israel katika uhalifu wa kinyama lililenga hospitali ya al-Ahli Arabu huko Ghaza wakati wa shambulio la anga siku ya Jumanne, na kuua zaidi ya raia 500, wengi wao wakiwa wanawake na watoto, na kujeruhi mamia ya wengine.
Habari ID: 3477760 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/19
RABAT (IQNA) - Zaidi ya watu 2,000 wamepoteza maisha baada ya tetemeko kubwa la ardhi la ukubwa wa 6.8 kwa kipimo cha rishta, ambalo lilikuwa na nguvu zaidi kuwahi kuikumba nchi hiyo katika miongo sita. Zilzala hiyo iliisubu Morocco siku ya Ijumaa usiku.
Habari ID: 3477579 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/11
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametangaza siku tato za maombolezo ya kitaifa kufuatia vifo vya mamia ya mahujaji waliokuwa katika ibada ya Hija huko Mina, karibu na mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3367103 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/24