IQNA - Balozi wa zamani wa Iran katika Vatikani alielezea mazungumzo ya kidini kati ya Uislamu na Ukristo kama aina ya sanaa na suala la kiufundi linalohitaji uelewa wa pande zote mbili.
Habari ID: 3480103 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/26
Chuo Kikuu cha Jimbo la Yobe Kaskazini Mashariki mwa Nigeria kimehuisha kitengo cha utafiti wa Qur'ani kwa lengo la kuimarisha masomo ya Kiislamu.
Habari ID: 3457056 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/25