Msomi wa Canada
Mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Lethbridge nchini Canada amesema barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi imejaa ukweli wa kimaanawi ambao unahusu watu wa rika na zama zote.
Habari ID: 3468272 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/22