IQNA - Qari wa Iran anayesifika kimataifa Hamid Reza Ahmadi alisifu Mpango wa Amir al-Qurra nchini Iraq.
Habari ID: 3479103 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/10
IQNA - Shirika la Iran la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu (ICRO) limebuni mpango unaoitwa Risalatallah ili kuimarisha harakati za Qur'ani za Iran katika ngazi ya kimataifa, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3479085 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/07
Nidhamu Katika Qur'ani / 8
IQNA – Qur’ani Tukufu inarejelea baadhi ya mifano ya nidhamu na utaratibu mkubwa katika uumbaji wa dunia ili kuwaalika watu kutafakari na kuwaongoza hadi kwa Yule aliyeumba nidhamu hii.
Habari ID: 3478758 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/02
Wairani zaidi ya milioni 1.2 wanashiriki katika Mpango wa Kitaifa ya Kuhifadhi Qur'ani tukufu chini ya usimamizi wa Shirika la Awqaf la Iran.
Habari ID: 3468284 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/22