IQNA – Nyumba ya Makumbusho ya Sanaa za Kiislamu mjini Jeddah, maarufu kwa jina la Dar al-Funun al-Islamiyyah, imeandaa maonesho ya hati adimu za Qur’ani Tukufu pamoja na kazi za sanaa zinazodhihirisha uhusiano wa kihistoria kati ya imani ya Kiislamu, uzuri wa sanaa, na ustadi wa mikono.
Habari ID: 3481479 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/07
IQNA – Katika mtaa wa kihistoria wa Farangi Mahal mjini Lucknow, mahali muhimu katika harakati za India za utamaduni na uhuru, kuna hazina ya kipekee: nakala ya Qur'ani ya kipekee iliyoandikwa kwa wino wa dhahabu miaka 340 iliyopita.
Habari ID: 3481221 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/12
IQNA – Ingawa Maktaba ya Vatican ni maktaba ya Kikristo, urithi wa Kiislamu unachukua nafasi maalum ndani yake na Misahafu (nakala za Qur'ani) inahifadhiwa katika maktaba hii.
Habari ID: 3481164 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/31
Turathi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Jumba la Makumbusho la Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein AS huko Karbala, Iraq imekabidhiwa nakala adimu ya Qur’ani Tukufu iliyopambwa kwa dhahabu na fedha.
Habari ID: 3477028 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/21