Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
IQNA- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Ebrahim Raisi amekufa shahidi akiwa na wenzake kadhaa katika ajali ya helikopta iliyotokea jana katika mkoa wa Azarbaijan Mashariki, kaskazini magharibi mwa Iran.
Habari ID: 3478852 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/20