iqna

IQNA

Maombolezo
IQNA-Viongozi na maafisa wakuu wa nchi 68 duniani leo wamefika kwenye ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Tehran kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Rais Sayyid Ebrahim Raisi na ya wenzake waliokufa shahidi pamoja naye katika ajali ya helikopta iliyotokea siku ya Jumapili.
Habari ID: 3478873    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/23

Diplomasia ya Kiislamu
IQNA- Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei amekaribisha kufufuliwa uhusiano kati ya Iran na Tunisia, kulikowezeshwa na ziara ya Rais Kais Saied wa Tunisia nchini Iran, na kupongeza misimamo ya nchi hiyo ya Kaskazini mwa Afrika dhidi ya Israel.
Habari ID: 3478872    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/23

IQNA - Mamilioni ya wananchi wa Iran wamejitokeza le Mei 22, 2024, kutoa heshima zao za mwisho kwa hayati rais Shahidi Ebrahim Raisi na mashahidi wenzake.
Habari ID: 3478871    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/22

Mwanamuqawama
IQNA-Katika ajali mbaya ya helikopta iliyopelekea kuuawa shahidi Rais Ebrahim Raeisi, Iran pia ilimpoteza mwanadiplomasia mwanamapinduzi na shujaa ambaye aliingiza uhai mpya katika maisha ya sera kigeni za Jamhuri ya Kiislamu katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.
Habari ID: 3478870    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/22

Maombolezo ya Mashahidi
IQNA – Shughuli ya kuaga viwiliwili vya marehemu rais shahidi wa Iran Ebrahim Raisi, wenzake waliokufa shahidi aktika ajali ya helikopta imefanyika katika mji mtakatifu wa Qum mnamo Mei 21, 2024, kwa kushirikisha mamia ya maelfu ya watu.
Habari ID: 3478869    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/22

Maombolezo ya Mashahidi
IQNA - Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas , Ismail Haniyah alipongeza misimamo ya marehemu rais wa Iran Shahidi Ebrahim Raisi ya kuunga mkono Palestina.
Habari ID: 3478868    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/22

Kuaga Mashahidi
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo asubuhi ameswalisha swala ya maiti ya Shahidi Rais Ebrahim Raisi na mashahidi wenzake katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Tehran.
Habari ID: 3478867    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/22

Msiba
IQNA-Mamilioni ya watu wamekusanyika katika mji mkuu wa Iran wa Tehran kushiriki katika mazishi ya Rais Ebrahim Raisi na wenzake, waliouawa shahidi katika ajali mbaya ya helikopta katika mkoa wa kaskazini-magharibi wa Azarbaijan Mashariki.
Habari ID: 3478866    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/22

Maombolezo
IQNA-Rais wa Iran Ebrahim Raeisi, Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amir-Abdollahian na maafisa wengine kadhaa walikufa shahidi baada ya helikopta yao kuanguka katika milima ya kaskazini-magharibi mwa Iran siku ya Jumapili Mei 19
Habari ID: 3478865    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/21

Mtazamo
IQNA – Qur’ani Tukufu inasema yeyote anayekufa baada ya kutoka au kuhama nyumbani kwake kwa ajili ya kwenda kwenye Mwenyezi Mungu na Mtume wake (SAW) atapata malipo yake kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3478864    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/21

Maombolezo
IQNA – Shahidi Ayatullah Ebrahim Raisi alikuwa na shauku ya kuwatumikia watu, Rais wa Akademia ya Elimu, Utamaduni na Utafiti ya Iran (ACECR) amesema.
Habari ID: 3478863    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/21

Maombolezo
IQNA - Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon ametuma salamu za rambirambi kufuatia kufa shahidi Rais wa Iran Sayyid Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amir-Abdollahian na ujumbe ulioandamana nao.
Habari ID: 3478862    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/21

IQNA - Bendera ya kijani kibichi ya Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS), Imam wa Nane wa Waislamu wa madhehebu ya Shia huko Mashhad ilibadilishwa na nyeusi kuashiria kuanza kwa siku tano za maombolezo ya kitaifa mnamo Mei 20, 2024, kufuatia vifo vya kusikitisha vya rais wa Iran, waziri wa mambo ya nje na ujumbe wa walioandamana nao katika ajali ya helikopta. Shahidi Raisi ni mwenyeji wa mji wa Mashhad na aliwahi wakati moja kuwa msimamizi wa Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS).
Habari ID: 3478861    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/21

IQNA - Tarehe 20 Mei, 2024 mjini Tehran, kikao cha kuhitimisha mashindano ya usomaji wa Qur'ani kilifanyika. Mashindano hayo yalikuwa ya kuiga maqari maarufu.
Habari ID: 3478860    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/21

Maombolezo
IQNA - Idadi kubwa ya Wairani huko Tabriz wameshiriki katika shughuli ya kumuaga shahidi Rais Ebrahim Raisi na maafisa kadhaa waliokufa shahidi pamoja naye katika ajali mbaya ya helikopta iliyotokea Mei 19 milimani katika mkoa wa Azarbaijan Mashariki, kaskazini-magharibi mwa Iran.
Habari ID: 3478859    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/21

Siasa
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei amelitaja Baraza la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua na kusimamia kazi za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuwa shina na kitovu cha demokrasia ya Kiislamu.
Habari ID: 3478858    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/21

Maombolezo
IQNA-Makundi ya mapambano ya Kiislamu (muqawama) katika eneo la Asia Magharibi yametuma salamu za rambirambi na kuonyesha mshikamano na taifa na serikali ya Iran kufuatia ajali ya helikopta jana ambayo helikopta ambayo ilipelekea kufa shahidi Seyyed Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Amir Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje na wote waliokuwa katika msafaraha huo.
Habari ID: 3478857    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/20

IQNA - Taifa la Iran linaomboleza kufuatia kufa shahidi katika ajali ya helikopta jana Seyyed Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Amir Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje, Hujjatul Islam wal Muslimin Al Hashem, mwakilishi wa Waliul Faqih katika Mkoa wa Azabajan Mashariki, Malik Rahmati, Gavana wa Azabajani Mashariki na wote waliokuwa katika msafaraha huo.
Habari ID: 3478856    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/20

Rambirambi
IQNA-Viongozi wa dunia wameendelea kutuma salamu za rambi rambi kufuatia kufa shahidi katika ajali ya helikopta jana Seyyed Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Amir Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje, Hujjatul Islam wal Muslimin Al Hashem, mwakilishi wa Waliul Faqih katika Mkoa wa Azabajan Mashariki, Malik Rahmati, Gavana wa Azabajani Mashariki na wote waliokuwa katika msafaraha huo.
Habari ID: 3478855    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/20

Msiba
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa salamu za rambirambi kufuatia kufa shahidi Seyed Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na ujumbe alioandamana nao.
Habari ID: 3478854    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/20