iqna

IQNA

IQNA-Chama cha Wanafunzi Waislamu wa Ufaransa (EMF) kimelaani vikali pendekezo la sheria inayopiga marufuku uvaaji wa Hijabu katika mashindano ya michezo , likiitaja kuwa "ya kibaguzi, ya chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) na ya ubaguzi wa kijinsia."
Habari ID: 3480247    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/21

Mawaidha
IQNA - Katika Uislamu, kushiriki katika michezo kwa nia safi au ikhlasi hubadilisha shughuli za kimwili kuwa tendo la ibada, kukuza afya ya kimwili na ustawi wa kiroho.
Habari ID: 3479793    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/23

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amevitaja vikwazo vya michezo baada ya kuanza vita vya Ukraine kuwa vinakadhibisha madai ya waistikbari na wafuasi wao kuhusu kutoingizwa siasa katika michezo .
Habari ID: 3475909    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/10

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewapongeza wana michezo wa kike Wairani ambao wanashiriki katika michezo ya kimataifa wakiwa wamevaa vazi la staha la Hijabu.
Habari ID: 3471741    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/14

Wanariadha watatu Waislamu wameonyesha nguvu na taswira nzuri ya Uislamu katika michezo ya Olimpiki ya Rio, 2016.
Habari ID: 3470529    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/18

Kwa msaada wa Chuo Kikuu cha Minnesota Marekani, wasichana Waislamu katika eneo la Minneapolis wamebuni mavazi mapya ya timu yao ya baskatboli, mavazi ambayo yanazingatia mipaka ya Kiislamu.
Habari ID: 3313760    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/13