IQNA – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, ametaja Idul-Ghadir, ambayo mwaka huu inaangukia tarehe 14 Juni, kuwa ni siku ya kipekee kwa Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3480826 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/12
IQNA – Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Imamu Ali (AS) mjini Najaf, Iraq, imetoa zawadi ya bendera za Iddi ya Ghadir kwa taasisi mbalimbali za kidini, kitamaduni na huduma za kijamii ndani ya Iraq na katika nchi kadhaa nyingine.
Habari ID: 3480779 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/02
IQNA – Wanaharakati wa Qur'ani kutoka nchi 50 hadi sasa wamejisajili kushiriki katika toleo la nne la shindano la kimataifa la Qur'ani huko Karbala, Iraq.
Habari ID: 3480616 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/30
MANABII
Ni nini kilikuwa na maudhui ya ujumbe wa mwisho muhimu wa ujumbe wa Mtume (s.a.w) ambao Mwenyezi Mungu, alimuamuru mjumbe Wake wa mwisho kuufikisha kwa watu?
Habari ID: 3479032 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/30
Eid al Ghadir
Wakati tukio la Eid al-Ghadir linapokaribia, maonyesho yanayoonyesha tukio la Ghadir yamewekwa kwenye kaburi tukufu la Hazrat Masoumeh (SA) huko Qom.
Habari ID: 3479002 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/23
Qur'ani Tukufu inasemaje/19
TEHRAN (IQNA) – Akirejea kutoka katika Hijja yake ya mwisho, Mtukufu Mtume Muhammad (SAW) alipokea aya kutoka kwa Mwenyezi Mungu ambazo zilifungamanisha kukamilika kwa jumbe zote za Mwenyezi Mungu na ujumbe mmoja maalum.
Habari ID: 3475954 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/19
Qur'ani Tukufu Inasemaje /18
TEHRAN (IQNA) – Baada ya kuteremshwa aya inayozungumzia kuteuliwa kwa Harun kama naibu wa Musa, Mtume Muhammad (SAW) alimteua mrithi wa ukhalifa wake na hadithi hii imetajwa na wanazuoni na wanahistoria wengi wa Kiislamu kutoka asili tofauti.
Habari ID: 3475508 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/16
TEHRAN (IQNA)- Kwa mnasaba wa kuwadi siku kuu ya Idul Ghadir, kumefanyika sherehe ya kupandisha bendera ya Ghadir katika Haram ya Imam Ali (AS).
Habari ID: 3475507 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/15
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa kumpenda na kumfuata wasii wa Mtume Muhammad (SAW), Imam Ali bin Abi Twalib (AS) ndiyo njia ya uokovu na kujikwamua katika makucha ya mabeberu.
Habari ID: 3474139 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/29
TEHRAN (IQNA)- Sherehe imefanyika katika Haram Takatifu ya Imam Ali AS mjini Najaf, Iraq ambapo wanaohudumu katika eneo hilo takatifu wametangaza utiifu wao kwa Imam Ali AS.
Habari ID: 3474135 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/28
TEHRAN (IQNA)-Sherehe zimanza kufanyika katika mji mkuu wa Iran, Tehran na mji mtakatifu wa Mashhad kaskazini mashariki mwa nchi kwaa mnasaba wa kukaribia Siku Kuu ya Idul Ghadir.
Habari ID: 3474128 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/26
Katika kipindi cha miaka 23, Bwana Mtume SAW alisumbuka na kufanya jitihada kubwa mno hadi kuuwezesha kuchipua na kustawi mmea mchanga wa dini tukufu ya Uislamu.
Habari ID: 3473044 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/07
TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa madhehebu ya Shia kote duniani leo wanaadhimisha sikukuu ya Ghadir ambayo ni kati ya siku muhimu zaidi katika kalenda ya historia ya Uislamu.
Habari ID: 3472092 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/20
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur'ani Tukufu barani Ulaya yamepwanga kufanyika katika mji mkuu wa Sweden, Stockholm kwa munasaba wa Siku Kuu ya Idul Ghadir.
Habari ID: 3471108 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/06
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia kuwa miongoni mwa wenye kushikamana na Wilaya ya Ali bin Abi Talib na kizazi chake kitoharifu na maasumu; na mpaka pale roho zetu zitakapokuwamo viwiliwilini mwetu.
Habari ID: 3470572 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/19
Katika kipindi cha miaka 23, Bwana Mtume SAW alisumbuka na kufanya jitihada kubwa mno hadi kuuwezesha kuchipua na kustawi mmea mchanga wa dini tukufu ya Uislamu.
Habari ID: 3377330 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/02
Imam Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil-Udhmaa Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, hatua yoyote inayochochea chuki na tofauti baina ya Suni na Shia, inaisaidia Marekani, Uingereza na utawala haramu wa Kizayuni, yaani katika kuibua harakati za kijinga, zilizopitwa na wakati na za kitakfiri.
Habari ID: 1460143 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/14
Katika kipindi cha miaka 23, Mtume Muhammad SAW alisumbuka na kufanya jitihada kubwa mno hadi kuuwezesha kuchipua na kustawi mmea mchanga wa dini tukufu ya Uislamu.
Habari ID: 1459700 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/12