iqna

IQNA

IQNA – Mkutano wa Kimataifa kuhusu "Haki za Binadamu kwa Mtazamo wa Mashariki" unatarajiwa kufanyika tarehe 27 Aprili, 2025, jijini Tehran, na utaendelea tarehe 28 na 29 Aprili katika Chuo Kikuu cha Baqir al-Olum mjini Qom.
Habari ID: 3480539    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/14

Mtazamo
IQNA – Mafanikio ya vituo vya Kiislamu katika nchi za Magharibi yanategemea kutekeleza mafundisho ya Qur'ani Tukufu na Ahl al-Bayt (AS), amesema Ayatullah Abdollah Javadi Amoli.
Habari ID: 3479981    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/31

Mahojiano
IQNA - Mwanafalsafa wa Misri anasema nchi za Ulaya zilifaidika na falsafa ya Kiislamu ili kujikomboa kutoka kwa Zama za Giza. Aiman ​​al-Misri, ambaye anaongoza Chuo cha Rational Hikma, alisema hayo katika mahojiano na Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa (IQNA)  kuhusu falsafa.
Habari ID: 3479800    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/24

Kadhia ya Palestina
Khatibu wa ngazi ya juu wa Iran alikosoa utetezi wa nchi za Magharibi wa haki za binadamu, akibainisha kwamba undumakuwili wao unaweza kushuhudiwa katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa.
Habari ID: 3479060    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/03

Mtazamo
IQNA - Kongamano limefanyika katika Maonesho ya 35 ya Kimataifa ya Vitabu ya Tehran (TIBF) kujadili barua mbili za Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei kwa vijana wa Magharibi.
Habari ID: 3478827    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/15

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema serikali za Magharibi zinaunga mkono kuvunjiwa heshima dini za Mwenyezi Mungu hususan Uislamu.
Habari ID: 3476470    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/27

Njama dhidi ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema njama ya adui ya kuzua ukosefu wa utulivu nchini Iran imefeli sawa na ilivyoshindwa sera ya vikwazo vikali dhidi ya nchi hii.
Habari ID: 3476069    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/11

TEHRAN (IQNA) – Profesa mshiriki wa Chuo Kikuu cha Colgate ametaja uingiliaji kati wa nchi za Magharibi kama moja ya sababu kuu za kuongezeka kwa ugaidi wenye itikadi kali barani Afrika.
Habari ID: 3475075    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/26

Ripoti
TEHRAN (IQNA)- Kuenea chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) katika nchi za Magharibi hivi sasa limegeuka na kuwa tatizo kubwa na la kijamii, tatizo ambalo limeibua na kushadidisha vitendo vya utumiaji mabavu katika jamii ya Magharibi.
Habari ID: 3474298    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/15

TEHRAN (IQNA) - Rais Bashar al Assad wa Syria amesema Marekani na baadhi ya nchi za Magharibi zinawazuia wakimbizi wa Syria wasirudi nchini kwao.
Habari ID: 3473351    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/11

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, matokeo ya mashinikizo ya maadui dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu yatakuwa ni kuchezea kipigo maadui hao kutoka kwa taifa la Iran na kulazimika kurudi nyuma.
Habari ID: 3472905    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/27

Spika wa Bunge la Iran
THERAN (IQNA) - Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu, Bunge la Iran, amesema katika kadhia ya ugonjwa wa corona (COVID-19), ubinadamu umeporomoka na kadhia hii inatazamwa kibiashara.
Habari ID: 3472729    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/03

Mkutano wa kimataifa wa Maimamu wa Misikiti katika nchi zenye Waislamu wachache umepangwa kufanyika, Cairo mji mkuu wa Misri.
Habari ID: 3470592    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/02

Msomi wa Canada
Mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Lethbridge nchini Canada amesema barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi imejaa ukweli wa kimaanawi ambao unahusu watu wa rika na zama zote.
Habari ID: 3468272    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/22

Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa Gholam Ali Khoshrou amesema barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Magharibi iliwasilisha matazamo halisi wa Uislamu.
Habari ID: 3459723    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/04

Barua ya pili ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa nchi za Magharibi imeakisiwa kwa wingi katika vyombo vya habari vya kigeni.
Habari ID: 3458797    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/30

Kiongozi Muadhamu kwa vijana Wamagharibi
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amewaandikia barua vijana wa nchi za Magharibi akisema kuwa, matukio machungu ya kigaidi yaliyotokea nchini Ufaransa yameandaa uwanja wa kutafakari kwa pamoja kuhusu njia ya utatuzi wa migogoro ya sasa.
Habari ID: 3458401    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/29

Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu amesema kuhusiana na mazungumzo ya nyuklia kati ya Iran na mataifa sita yenye nguvu duniani kwamba, mazungumzo hayo yanaweza kutatua masuala yote kama nchi za Magharibi zitaacha kutoa visingizio.
Habari ID: 1373535    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/10