mazungumzo

IQNA

IQNA – Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mujtaba Khamenei, amesema maafisa wa Iran wamefanya juhudi kubwa kwa nia njema na kwa kujali maslahi ya taifa ili kufikia hati ya makubaliano (MoU) na Marekani, huku rais wa Marekani akitumia mbinu mbalimbali kutokana na hali ya kukata tamaa.
Habari ID: 3482379   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/19

Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani/4
IQNA-Katika matukio ya hivi karibuni, mbele ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kulikuwepo njia mbili: vita au mazungumzo. Watu wengi kwa kawaida walipendelea mazungumzo. Hata hivyo, kwa nini hatima ya nchi ikaishia kwenye vita?
Habari ID: 3482033   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/09

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amepinga ombi la Washington la mazungumzo ya nyuklia na kusema kwamba hakuna taifa lolote huru na lenye heshima linaloweza kukubali mazungumzo chini ya mashinikizo.
Habari ID: 3481281   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/24

Iran na jamii ya kimataifa
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Iran amesema hana mpango wa kukutana au kufanya mazungumzo na mwenzake wa Marekani, Joe Biden katika safari yake ya New York, anayotazamiwa kwenda kushiriki Mkutano wa 77 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA).
Habari ID: 3475804   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/18

Qur'ani Tukufu inasemaje / 20
TEHRAN (IQNA) - Mhadhiri mmoja wa Kiislamu ameashiria aya kadhaa za Qur’ani, ili kubainisha kwamba Qur’ani Tukufu imeweka msingi wa kuanzisha mahusiano na mazungumzo.
Habari ID: 3475556   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/30

Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Muda wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesisitiza kuwa, taifa la Iran halitokubaliana na chochote katika mazungumzo yanayoendelea mjini Vienna Austria ghairi ya kuondolewa vikwazo vyote vya kidhalimu lilivyowekewa taifa hili la Kiislamu na madola ya kibeberu.
Habari ID: 3474632   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/03

Kikao cha Kazakhstan chabaini
TEHRAN (IQNA)- Washiriki wa kikao kimoja cha kidini nchini Kazakhstan wametaja chuki dhidi ya Uislamu kuwa moja ya vizingiti vikubwa katika kufikiwa amani duniani.
Habari ID: 3474401   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/09

TEHRAN (IQNA) – Afisa mwandamizi wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Saeb Erekat ameaga dunia leo baad ya kuumbukizwa corona.
Habari ID: 3473347   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/10

IQNA-Warsha ya pili ya kieneo ya mazungumzo baina ya dini imefanyika nchini Zimbabwe kwa himaya ya Mwambata wa Utamaduni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini humo.
Habari ID: 3470631   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/23

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Marekani inasaka fursa ya kupenya na kulazimisha matakwa yake kwa taifa la Iran.
Habari ID: 3383038   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/08