icro - Ukurasa 2

IQNA

IQNA-Warsha ya pili ya kieneo ya mazungumzo baina ya dini imefanyika nchini Zimbabwe kwa himaya ya Mwambata wa Utamaduni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini humo.
Habari ID: 3470631   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/23

Kongamano la kimataifa la "Uislamu, Rehema kwa Dunia" litafanyika Jakarta, Indonesia kuanzia Oktoba 13-16.
Habari ID: 3360473   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/08