iqna

IQNA

brunei
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Brunei yataanza Jumatano, Januari 17.
Habari ID: 3478200    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/16

Harakati za Qur'ani
IQNA – Kikao cha Khitmah ya Qur'ani Tukufu (kusoma Qur'ani Tukufu kuanzia mwanzo hadi mwisho) kimefanyika katika msikiti mkubwa huko Brunei kuashiria mwisho wa mwaka wa 2023.
Habari ID: 3478126    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/01

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
BANDAR SERI BEGAWAN (IQNA) - Shindano la Kitaifa la Kusoma Al-Quran la Brunei kwa Watu Wazima litaingia katika hatua ya nusu fainali siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3477846    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/05

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Usajili umefunguliwa kwa ajili ya mashindano ya kitaifa ya Qur’ani Tukufu kwa vijana nchini Brunei, ambayo yataanza mwezi Machi.
Habari ID: 3476563    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/14

TEHRAN (IQNA)- Sala ya Ijumaa imeruhusiwa tena nchini Brunei baada ya kusitishwa kwa muda wa miezi mitatu.
Habari ID: 3474580    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/20

Kwa mtazamo wa idadi ya watu, Brunei ni nchi ndogo zaidi ya Kiislamu na iko kusini mashariki mwa bara Asia. Nchi hii ina rekodi kadhaa muhimu ambapo imetajwa kuwa nchi tajiri zaidi katika ulimwengu wa Kiislamu na ni ya tano kwa utajiri mkubwa duniani.
Habari ID: 3471690    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/25

IQNA-Gazeti moja mashuhuri nchini Brunei limefungwa baada ya kuandika kuwa matatizo ya kiuchumi Saudi Arabia yameipelekea iongeze kwa kiasi kikubwa bei ya Visa ya Hija.
Habari ID: 3470664    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/09

Musa Motamedi hafidh wa Qur’ani kutoka Iran ameshika nafasi ya kwanza katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani katika mji mkuu wa Russia, Moscow.
Habari ID: 3384686    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/12