iqna

IQNA

kifedha
Wanamichezo Waislamu
TEHRAN (IQNA)-Mwanasoka Mfaransa Muislamu alijiunga na Wahed Inc., kampuni ya kimataifa ya Kifedha ya Kiislamu, kama mwekezaji na ‘Balozi wa Chapa’.
Habari ID: 3475365    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/11

TEHRAN (IQNA)- Australia ina mpango wa kuwa kitovu cha kieneo cha mfumo wa kifedha wa Kiislamu kutokana na kuwa ina uthabiti wa kisiasa, mfumo wa kifedha uliostawi na uchumi mkubwa wa ndani ya nchi.
Habari ID: 3474313    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/19

TEHRAN (IQNA)- Shirika la kifedha la Kiislamu la Wahed, ambalo hutoa huduma halali za kifedha limepata leseni ya kutoa huduma nchini Afrika Kusini.
Habari ID: 3474213    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/21

TEHRAN (IQNA)- Mkutano wa Saba wa Mfumo wa Kiislamu wa Kifedha na Kibenki barani Afrika umepangwa kufanyika katika mji mkuu wa Tanzania, Dar- es- Salaam.
Habari ID: 3474062    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/02

TEHRAN (IQNA)- Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema mfumo wa kifedha wa Kiislamu unaweza kutumika kuiondoa dunia katika mgogoro wa kiuchumi uliosababishwa na janga la COVID-19.
Habari ID: 3472866    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/15

TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Malta imeanzisha bodi ya kitaifa kwa lengo la kustawisha mfumo wa Kiislamu wa kifedha ambapo sheria mpya zitatungwa kuwavutia wawekezaji Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3471576    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/29

IQNA-Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesaini sheria itakayoimarisha nafasi ya Kenya kama kitovu cha mfumo wa fedha wa Kiislamu barani Afrika.
Habari ID: 3470779    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/04