Mahojiano
        
        IQNA - Mwanafalsafa wa Misri anasema nchi za Ulaya zilifaidika na falsafa ya Kiislamu ili kujikomboa kutoka kwa Zama za Giza.
Aiman al-Misri, ambaye anaongoza Chuo cha Rational Hikma, alisema hayo katika mahojiano na Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa (IQNA)  kuhusu falsafa.
                Habari ID: 3479800               Tarehe ya kuchapishwa            : 2024/11/24
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Mgogoro kuhusu umiliki wa Msikiti Mkuu wa Crodoba nchini Uhispania unaendelea kutokota baada ya kamati iliyoteuliwa na Baraza la Mji wa Cordoba kupinga hatua ya Kanisa Katoloki kuchukua udhibiti wa msikiti huo.
                Habari ID: 3471677               Tarehe ya kuchapishwa            : 2018/09/17
            
                        Mwanamke Mwislamu mkaazi wa Uhispania
        
        IQNA: Bi. Bushra Ibrahimi ni Mwislamu mkaazi wa Uhispania ambaye anasema Waislamu katika nchi hiyo ya Ulaya wanakumbwa na masaibu mengi.
                Habari ID: 3470836               Tarehe ya kuchapishwa            : 2017/02/06