iqna

IQNA

intifadha
TEHRAN (IQNA)- Jumatatu tarehe 28 Septemba, imesafidiana na kutimia miaka 20 tangu kulipotokea Intifadha ya Pili inayojulikana kama Intifadha ya al-Aqswa.
Habari ID: 3473213    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/29

TEHRAN (IQNA)- Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umemalizika mjini Tehran kwa kutoa taarifa yenye vipengee 26 inayosisitiza kuimarishwa umoja wa Kiislamu kwa ajili ya kupambana na njama za maadui, ikiwemo njama mpya ya Marekani dhidi ya Quds Tukufu.
Habari ID: 3471300    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/08

TEHRAN (IQNA)-Wapalestina watatu wamepigwa risasi na kuuawa katika oparesheni dhidi ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds.
Habari ID: 3471066    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/14

Taarifa ya mwisho ya mkutano wa Tehran kuhusu Palestina
IQNA-Taarifa ya mwisho ya Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina uliomalizika leo hapa mjini Tehran limesisitizia udharura wa kulindwa kadhia ya Palestina ambayo ni kipaumbele cha kwanza cha nchi ulimwengu wa Kiislamu na za Kiarabu na ndilo zingatio kuu la fikra za walio wengi duniani.
Habari ID: 3470864    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/22

IQNA: Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina utafanyika tarehe 21 na 22 Februari katika mji mkuu wa Iran, Tehran.
Habari ID: 3470856    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/19

Wapalestina wengine wawili wameuawa shahidi katika hujuma za wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wasio na hatia.
Habari ID: 3463972    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/16

Sayyed Hassan Nasrallah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah amesema utawala haramu wa Israel unahofia mwamko au Intifadha ya Wapalestina.
Habari ID: 3444016    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/07

Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Lebanon ya Hizbullah amewapongeza wanaharakati wanaopigania ukombozi wa Palestina kwa kujitolea muhanga na kusimama kidete katika Intifadha ya 3 inayoendelea hivi sasa katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Quds Tukufu.
Habari ID: 3388690    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/18