barcelona

IQNA

IQNA – Winga chipukizi wa Klabu ya Soka ya Barcelona na Hispania, Lamine Yamal, amesema kutembelea msikiti humpa mtu utulivu wa kipekee bila kujali dini anayofuata.
Habari ID: 3481781   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/08

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Meya wa jiji la Uhispania la Barcelona ametangaza kusimamisha uhusiano na Tel Aviv kutokana na Israel kukiuka haki za watu wa Palestina kwa njia "iliyoratibiwa".
Habari ID: 3476542   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/10

TEHRAN (IQNA) - Shirikisho la Soka la Palestina limekaribisha hatua ya FC Barcelona ya Uhispania kukataa kucheza mechi ya kirafiki na timu ya Beitar ya utawala haramu wa Israeli katika mji wa Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3474112   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/18

IQNA (TEHRAN)- Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, lengo la vitendo vinavyofanywa na kundi la kigaidi la ISIS ni kuchafua haiba na sura halisi ya Uislamu.’
Habari ID: 3471129   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/19