Rais Pezeshkian wa Iran katika mazugumzo na Bin Salman wa Saudia
        
        IQNA-Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia na kusisitiza kwa kusema: "Nina imani kwamba kama nchi za Kiislamu zitafanya kazi kwa pamoja, zinaweza kuleta usalama na ustawi bora katika eneo hili."
                Habari ID: 3480489               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/04/04
            
                        Siasa za Saudia
        
        TEHRAN (IQNA)- Taarifa zinasema mhubiri mmoja mashuhuri nchini Saudi Arabia amehukumiwa kunyongwa katika kile kinachoongokana ni ukandamizaji dhidi ya wanaopinga sera za Ufalme huo.
                Habari ID: 3476408               Tarehe ya kuchapishwa            : 2023/01/15
            
                        Kaaba Tukufu
        
        TEHRAN (IQNA) – Maafisa kadhaa wa Saudia walihudhuria sherehe za kila mwaka za kuosha Kaaba Tukufu katika mji wa Makka Jumanne asubuhi.
                Habari ID: 3475630               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/08/16
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Masuala ya Kiislamu katika Ufalme wa Saudi Arabia ametetea amri yenye utata aliyoitoa ya kupunguza sauti katika adhana misikitini.
                Habari ID: 3473969               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/06/01
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) – Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia, Mohammad bin Salman, ameutembelea utawala wa Kizayuni wa Israel mara kadhaa kwa siri, amefichua afisa wa zamani wa usalama katika utawala huo.
                Habari ID: 3473237               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/10/07
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) - Askari wa Gadi ya Mfalme wa Saudi Arabia imetekeleza amri ya mrithi wa mfalme wa nchi hiyo, Mohammad bin Salman na kuwatia nguvuni wanamfalme watatu wa nchi hiyo kwa tuhuma za uhaini.
                Habari ID: 3472545               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/03/08
            
                        RIPOTI
        
        TEHRAN (IQNA) – Waziri Mkuu wa Utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu anapanga kukutana na Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia Mohammad bin Salman.
                Habari ID: 3472449               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/02/08
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) - Baada ya kupita karibu mwaka mmoja tangu mauaji ya mwandishi na mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia Jamal Khashoggi, mrithi wa ufalme wa nchi hiyo Muhammad bin Salman amekana kuhusika na mauaji hayo lakini amekubali kubeba dhima na lawama zake.
                Habari ID: 3472150               Tarehe ya kuchapishwa            : 2019/09/28
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Rais Reccep Tayyip Erdogan wa Uturuki amekosoa vikali matamshi Mrithi wa Kiti cha Ufalme Saudia Mohammad Bin Salman kuhusu kile alichodai kuwa ni "Uislamu wa misimamo ya wastani."
                Habari ID: 3471259               Tarehe ya kuchapishwa            : 2017/11/12