TEHRAN (IQNA) – Misikiti ya London Mashariki nchini Uingereza imeanza kuadhini kupitia vipaza sauti katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ili kuwasaidia Waislamu wajihisi kufungamana na misikiti ambayo imefungwa kwa muda kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19.
Habari ID: 3472752 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/10
TEHRAN (IQNA) – Waislamu nchini Canada wamepata fursa ya kusikia adhana misikitini kupitia vipaza sauti kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya nchi hiyo ya Amerika Kaskazini.
Habari ID: 3472720 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/01
TEHRAN (IQNA)- Aidhana ilisikika kupitia vipaza sauti siku ya Ijumaa katika zaidi ya misikiti 100 ya Ujerumani na Uholanzi ikiwa ni hatua iliyotajwa ni ya mshikamano katika vita dhidi ya ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3472633 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/04
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Kuwait imefunga kwa muda misikiti nchini na kubadilisha adhana kufuatia hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama corona.
Habari ID: 3472570 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/16
TEHRAN (IQNA) – Kwa mara ya kwanza katika Msikiti wa Blauwe huko Amsterdam Uholanzi, kumeadhiniwa wakati wa Sala ya Ijumma kwa kutumia vipaza sauti.
Habari ID: 3472205 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/08
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Misri inatekeleza mpango wa majaribio wa adhana ya pamoja katika misikiti 113 nchini Cairo ili kuzuia sauti mbali mbali katika vipaza sauti vya misikiti wakati wa adhana .
Habari ID: 3471858 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/02
TEHRAN (IQNA)-Mahakama moja nchini Ujerumani imepiga marufuku adhana kwa kutumia vipaza sauti katika msikiti moja kwa madai kuwa eti wasiokuwa Waislamu wanakerwa.
Habari ID: 3471382 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/06
IQNA-Maelfu ya Wapalestina wameandamana kupinga sheria ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kupiga marufuku adhana katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.
Habari ID: 3470890 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/12
IQNA: Mcheza filamu mashuhuri wa Marekani Morgan Freeman amesema adhana ni kati ya sauti bora zaidi duniani alizowahi kusikia.
Habari ID: 3470697 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/25
Kumefanyika mashindano ya adhana katika mji mkuu wa Denmark, Copenhagen wikiendi iliyopita.
Habari ID: 3470580 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/26
Viongozi wa utawala wa Aal Saud nchini Saudi Arabia wamepiga marufuku kutangazwa adhana katika misikiti ya Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mkoa wa Al-Hasa, mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470222 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/01
Jameel Syed, mwanaharakati Mwislamu wa jimbo la Michigan nchini Marekani amekamilisha safari yake ya siku 35 ya kuzunguka na kusoma adhana katika majimbo yote 50 ya nchi hiyo.
Habari ID: 3284317 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/11
Katika mwendelezo wa chuki dhidi ya dini na matukufu ya Kiislamu, Marekani imepiga marufuku adhana katika Chuo Kikuu cha Duke nchini humo.
Habari ID: 2736720 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/20
Kundi la kutetea haki za binadamu la Palestina limetangaza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umepiga marufuku adhana katika jela zake wanakoshikiliwa maelfu ya Waislamu wa Kipalestina.
Habari ID: 1377228 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/19