iqna

IQNA

adhana
Waislamu Marekani
NEW YORK (IQNA) – Kwa mara ya kwanza katika historia, mwito wa Kiislamu kwa sala, unaojulikana kama Adhana, ulisikika katika mitaa ya Jiji la New York siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3477539    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/02

Waislamu Marekani
WASHINGTON, DC (IQNA) - Adhana, mwito wa Kiislamu wa Sala, unaweza kutangazwa kwa vipaza Saudi katika Jiji la New York kwa nyakati maalumu kila Ijumaa na wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3477525    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/31

Waislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) – Jiji la Minneapolis limekuwa jiji la kwanza kubwa la Marekani kuruhusu utangazaji bila vikwazo wa wito wa Waislamu wa Sala yaani Adhana kwa sauti inayosikika nje ya msikiti mara tano kwa siku mwaka mzima.
Habari ID: 3476872    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/15

Waislamu Kenya
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Kenya William Ruto alisitisha hotuba yake siku ya Jumatatu ili kuonyesha heshima kwa Adhan, ambayo pia inajulikana kama wito wa Kiislamu kwa maombi.
Habari ID: 3476671    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/07

Kombe la Dunia Qatar
TEHRAN (IQNA) – Watumiaji wengi wa Twitter walipendezwa na sauti nzuri ya Adhana baada ya klipu iliyorushwa na mwandishi mkuu wa kandanda wa Times Henry Winter iliyoonyesha mazoezi ya timu ya England wakati wa Adhana kusambaa mitandaoni.
Habari ID: 3476114    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/19

TEHRAN (IQNA)- Idara ya Polisi katika mji wa Mumbai nchini India imetoa idhini kwa misikitini 803 kutumia vipaza sauti kwa ajili ya adhana .
Habari ID: 3475208    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/05

TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa Ujerumani wameruhusu adhana kupitia vipaza sauti wakati wa Sala ya Ijumaa katika mji wa Cologne wenye Waislamu wengi.
Habari ID: 3474410    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/11

TEHRAN (IQNA)- Hakuna shaka kuwa mmoja kati ya wasomaji bora zaidi wa Qur'ani Tukufu nchini Misri alikuwa ni Ragheb Mustafa Ghalwash.
Habari ID: 3474076    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/06

TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Masuala ya Kiislamu katika Ufalme wa Saudi Arabia ametetea amri yenye utata aliyoitoa ya kupunguza sauti katika adhana misikitini.
Habari ID: 3473969    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/01

TEHRAN (IQNA) – Mashidano ya Adhana yamefanyika hivi karibuni nchini Senegal na kushirikisha nchi tatu za Afrika Magharibi.
Habari ID: 3473949    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/26

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Masuala ya Kiislamu katika Ufalme wa Saudi Arabia imetangaza kuweka vizuizi katika utumizi wa vipaza sauti misikitini nchini humo.
Habari ID: 3473943    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/24

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Ujerumani imeidhinisha adhana kupitia vipaza sauti misikitini katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kote katika nchi hiyo.
Habari ID: 3473836    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/21

Katika mazishi ya aliyekuwa rais wa Tanzania, Magufuli
TEHRAN (IQNA) - Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amewavutia wengi baada ya kusimaisha hotuba yake kwa zaidi ya dakika moja kupisha wito wa swala ( adhana ) ya adhuhuri wakati akihutubu leo katika shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli mjini Dodoma.
Habari ID: 3473754    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/22

TEHRAN (IQNA)- Adhana ya kale zaidi kuwahi kurekodiwa katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Al Masjid al-Haram) inaaminika kurekodiwa miaka 140 iliyopita.
Habari ID: 3473392    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/25

TEHRAN (IQNA) – Sauti ya adhana imesikika baada ya miaka 28 katika msikiti wa kihistoria Yukhari Govhar Agha katika mji wa Shusha ulioko eneo linalozozaniwa baina ya Jamhuri ya Azeribajan na Armenia la Nagorno-Karabakh.
Habari ID: 3473354    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/12

TEHRAN (IQNA) – Waislamu wa mjini Durban Afrika Kusini wamelaani hatua ya mahakama moja nchini humo kuamuru adhana ipigwe marufuku katika msikiti mmoja mjini humo.
Habari ID: 3473149    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/08

TEHRAN (IQNA) – Misikiti ya London Mashariki nchini Uingereza imeanza kuadhini kupitia vipaza sauti katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ili kuwasaidia Waislamu wajihisi kufungamana na misikiti ambayo imefungwa kwa muda kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19.
Habari ID: 3472752    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/10

TEHRAN (IQNA) – Waislamu nchini Canada wamepata fursa ya kusikia adhana misikitini kupitia vipaza sauti kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya nchi hiyo ya Amerika Kaskazini.
Habari ID: 3472720    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/01

TEHRAN (IQNA)- Aidhana ilisikika kupitia vipaza sauti siku ya Ijumaa katika zaidi ya misikiti 100 ya Ujerumani na Uholanzi ikiwa ni hatua iliyotajwa ni ya mshikamano katika vita dhidi ya ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3472633    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/04

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Kuwait imefunga kwa muda misikiti nchini na kubadilisha adhana kufuatia hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama corona.
Habari ID: 3472570    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/16