Uislam nchini Uswidi
Wanawake wawili wa Uswidi ambao wamesilimu wanasimulia hadithi zao huku mmoja wao akisema alitokwa na machozi aliposikia kisomo cha Qur’ani Tukufu kikisomwa.
Habari ID: 3479155 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/20
STOCKHOLM (IQNA) – Mwanamume aliyepatikana na hatia ya kudhalilisha nakala ya Qu’rani Tukufu nchini Swedeni na kuweka video hiyo mitandaoni amewekwa hatiani kwa kuchochea chuki za kikabila dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3477728 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/14
TEHRAN (IQNA)-Watu wasuijulikana wameuhujumu msikiti wa eneo la kati mwa mji mkuu wa Sweden, Stockholm Ijumaa usiku na kuchora nembo za kinazi.
Habari ID: 3471364 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/21