iqna

IQNA

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu/36
TEHRAN (IQNA) – Ni jambo linalokubalika miongoni mwa Waislamu na wanazuoni wengi wasio Waislamu yaliyomo katika Qur’ani Tukufu hayajabadilika tangu ilipoteremshwa kwa Mtukufu Mtume (SAW).
Habari ID: 3477949    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/26

Turathi ya Kiislamu
MASHHAD (IQNA) – Kumefanyika sherehe katika Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) mjini Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran kwa lengo la kuzindua Msahafu ambao uliandikwa karne 14 zilizopita.
Habari ID: 3477906    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/18

Turathi
LONDON (IQNA) – Mnada wa Christie umeondoka nakala ya maandishi ya Qur'ani Tukufu kwenye mnada wake baada ya baadhi ya wanaharakati kusema ni sehemu ya Msahafu ulioibwa kutoka kwenye jumba la makumbusho la Iran.
Habari ID: 3477808    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/29

Msahafu uliuzwa kupitia Soothbay, nakala hii iliandikwa na Murtaza ibn Jawad kwa ajili ya Aqa Muhammad Baqir mwaka 1821- hadi mwaka 1822.
Habari ID: 3477140    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/13

Turathi ya Kiislamu
Urejeshaji wa Msahafu (Qur'ani Tukufu) ulioandikwa miaka 500 iliyopita hivi karibuni umekamilika eneo la China laTaiwan .
Habari ID: 3477116    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/07

Turathi
TEHRAN (IQNA) – Nakala adimu ya Qur'ani Tukufu ya karne ya 15 Miladia ni miongoni mwa vitu vilivyoonyeshwa kwenye Maonyesho ya Vitabu ya Abu Dhabi 2023 katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3477045    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/25

Historia ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Jumba la Makumbusho La Louvre la Paris limefungua maonyesho mapya ambayo kwa kiasi fulani yanaonyesha baadhi ya kurasa za mojawapo ya nakala kongwe zaidi za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3476344    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/02

Maonyesho ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Jumba la Utamaduni la Iran mjini Lahore, Pakistani, limeandaa maonyesho kadhaa katika Tamasha la hivi karibuni la Sanaa ya Kiislamu, ikiwa ni pamoja na nakala ya Qur’ani Tukufu iliyonasibishwa kwa Imam Ali (AS).
Habari ID: 3476145    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/25

Turathi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kuna msikiti kaskazini-magharibi mwa Uchina ambao una nakala ya kale zaidi ya Qur'ani katika nchi hiyo ya Asia Mashariki.
Habari ID: 3475650    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/20

TEHRAN (IQNA) Msahafu ulioandikwa zaidi ya miaka 600 iliyopita unaonyesha katika Maktaba ya Nyaraka ya Ziya Bey nchini Uturuki.
Habari ID: 3474565    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/16

TEHRAN (IQNA)- Msahafu ambao umetajwa kuwa mkubwa zaidi duniani utaonyeshwa katika maonyesho ya Expo 2020 Dubai ambaye yanatazamiwa kuanza mjini humo baadaye mwezi Oktoba.
Habari ID: 3474242    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/31

TEHRAN (IQNA)- Taasisi ya Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai imewaenzi wachapishaji na wasambazaji Misahafu katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3474174    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/09

TEHRAN (IQNA)- Msahafu wenye kuvunja rekodi kwa ukubwa wake umewekwa katika maonyesho katika mji mkuu wa Indonesia, Jakarta.
Habari ID: 3473863    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/30

TEHRAN (IQNA)-Nakala nne nadra za Qur'ani Tukufu ni kati ya turathi zenye thamani katika maktaba ya Msikiti wa Sayyida Zainab mjini Cairo, Misri.
Habari ID: 3471372    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/26